Mahakama Tanzania tunayo, hatunayo?

Mahakama Tanzania tunayo, hatunayo?


Is this thing real?

Maana siku hizi mambo mengi sana.

If this is real.

Hili ni zaidi ya tatizo la lugha tu.

Maana najua kuna wale wa "Kiingereza si lugha yetu".

Word processors kama zote zina spellcheckers, huhitaji hata Grammarly.

Hii inaonesha watu kutokuwa makini tu, hakuna proofreading.

Watu wasio na utamaduni wa proofreading katika suala kubwa la mahakama linaloenda public kama hili, ina maana kuna mambo mengi ya sheria hawazingatii pia.

Kujibu swali lako, hakuna mahakama hapo.
 
Lakini hiyo ni kazi ya karani jamani, hapo amesema you must produce on that day nini?😅
Kabla ya kuwa released inabidi mtu mwenye dhamana ya kuisaini aipitie, ndiyo maana kuna hiyo saini kwamba mtu kasoma kila kitu na kakipitisha.

Sasa huyo aliyetia saini kasoma au katia saini tu?

Kasoma akaona makosa na kusaini tu, au amesaini bila kusoma, au kasoma na hakuona makosa?

Yote majanga hayo.
 
Kabla ya kiwa released inabidi mtu mwenye dhamana ya kuisaini aipitie, ndiyo maananua hiyobsaini kwamba kasoma kila kigu na kakipitisha.

Sasa huyo aliyetia saini kasoma au katia saini tu?

Kasoma akaona makosa na kusaini tu, au amesaini bila kusoma, au kasoma na hakuona makosa?

Yote majanga hayo.
Ni ile kuwa na mazoea tu
 
Mahakama tunayo, hizo ni typo tuu, japo ni kosa la karani, the judge should have seen it!, don't make a big deal out of this.

Kuna ma serious issues za Mahakama
- Kufuatia Kuteuliwa kwa Hisani, Baadhi Wanashindwa Kutenda Haki Kuepuka Utovu wa Fadhila!, CJ,Majaji Waombe Kazi, Wasailiwe, Wenye Uwezo Ndio Wateuliwe
-

P

For Want Of A Nail.


For want of a nail the shoe was lost.
For want of a shoe the horse was lost.
For want of a horse the rider was lost.
For want of a rider the message was lost.
For want of a message the battle was lost.
For want of a battle the kingdom was lost.
And all for the want of a horseshoe nail.
 
.Kujibu swali lako, hakuna mahakama hapo.
Kuna Mahakama hapo, hizi ndio Mahakama zetu, tukiendeleza the colonial legacy kupalatia lugha za wakoloni huku hatuziwezi.

Mahakama ya Tanzania ndio nchi ya kwanza ya Afrika south of Sahara kutumia AI real time interpretation system wakasema sasa kesi zitaendeshwa kwa lugha ya Kiswahili na hukumu zitakuwa za Kiswahili, mbona bado tunakumbatia kizungu.

P
 
Kuna Mahakama hapo, hizi ndio Mahakama zetu, tukiendeleza the colonial legacy kupalatia lugha za wakoloni huku hatuziwezi. Mahakama ya Tanzania ndio nchi ya kwanza ya Afrika south of Sahara kutumia AI real time interpretation system wakasema sasa kesi zitaendeshwa kwa lugha ya Kiswahili na hukumu zitakuwa za Kiswahili, mbona bado tunakumbatia kizungu.
P
Nilijua huu utetezi utatolewa kabla haujatolewa.

Wametumia AI lakini wameshindwa kutumia spellchecker ya Word Processor? Are you serious?

 
Back
Top Bottom