Maendeleo hayaletwi na kingereza bali lugha yoyote kama Wachina, Wafaransa,Wajerumani walivyopata maendeleo bila kujua Kingereza. Ziko nchi nyingi kingereza kwao sio ujiko lakini maendeleo safi!!!!!!!!!!!!!
Hapa ni Kazi tu na Kiswahili kitasambaa mpaka Africa kote in the next 10 Yrs hujawahi kuona.
Hapa ni Kazi tu na Kiswahili kitasambaa mpaka Africa kote in the next 10 Yrs hujawahi kuona.