Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Tunafanana kwamba sio lazima kwa kiongozi mkuu wa nchi kujua sana kiingereza ndio uthibitisho kwamba huyo ni kiongozi mzuri.
Sasa watu wanaombeza kiongozi wetu kwamba eti hafahamu kiingereza vizuri siwaelewi mantiki yao,
Sio lazima mtu kufahamu lugha ya kiingereza vizuri ndio uthibitisho kwamba ni kiongozi mzuri
Hakuna mtu anayembeza bali tunasema ukweli kuwa hajui lugha ya kiingereza kitu ambacho siyo dhambi.
 
kwani mwalimu wa chuo kikuu ndugu Kabudi hakuwepo angalau yeye atafsiri?
 
Yaani Mnangagwa pamoja na kukusaidia bado unasema "mpendwa" wetu anajua kiswahili pekee? Joke gani hiyo ya kusema "ukweli"?
 
Kuna maarifa ya uandishi, uzungumzaji na uelewa wa lugha yoyote. Magufuli anaweza kuwa weak kwenye kuzungumza Kiingereza kwa kutoa hotuba huru kutumia Kiingereza, tena mbele ya kadamnasi kubwa ya hadhi ya juu kabisa. Alichokifanya Magufuli ni kukubali kuwa ana udhaifu katika kuzungumza Kiingereza. Huo ni uamuzi wa busara na hekima.
 
Kaka Kiingereza cha Mbowe ni level nyingine

Unajua mtoto wa tajiri hata akiwa mchafu watu humuita msafi na kumpigia magoti

Kaka mtoto wa tajiri huongea Kiingereza tofauti na maskini

Endelea kujilinganisha familia ya Mbowe na Babu yako mvaa kandambili zilizotoboka katikati

Mbowe ni next level kwenye lugha ya malkia

Tangu lini maskini akaongea lugha ya kueleweka mbele ya tajiri, Tajiri hata akikosea watu huzalisha msamiati aliotamka tajiri na kuingiza kwenye kamusi

Nimecheka sana.
Mie sio Mshabiki wa Mbowe ila Kwa Lugha anaijua vizuri tu.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Magufuli turns Mnangagwa into a translator

SWAHILI speaking Tanzanian leader John Pombe Magufuli, on Wednesday turned President Emmerson Mnangagwa into a translator, after it emerged none among the aides at the State House function in Harare could perform the function except for the Zanu PF leader.

Magufuli was in Zimbabwe on a two-day State visit and in his final address to the media before departure spoke mainly in Swahili the biggest language in East Africa forcing his host to help bemused local journalists.

The Tanzanian leader was announcing his government had a maize surplus and was ready to help hunger stricken Zimbabwe.

After speaking exclusively in his native Swahili, Magufuli turned to the journalists present and said: “I Know you will cut some of the words.”

Mnangagwa’s spokesperson George Charamba tried but could only manage one word.

“I just heard ‘mwaka’ meaning season,” Charamba said before Mnangagwa noticing the handicap among his country-men turned translator.

Earlier on, Tuesday at a banquet held at State house, Magufuli told the media that he could not find a translator for his speech thus he was now forced to read his written speech which was in English.

Introducing him to the media Mnangagwa jokingly said President Magufuli is ready for questions but he only speaks Swahili.

“With me here is President Magufuli of the Republic of Tanzania, who came here by invitation reciprocating my visit to Tanzania. We have had discussion to promote, deepen and to consolidate relations, he is at your disposal if you want to ask questions but he speaks only Swahili,” Mnangagwa said.

Mnangagwa had asked Magufuli if he had a translator among his staffers to which the Tanzanian responded in the negative before carrying on.

Translating his first brief, Magufuli further said he came to Zimbabwe to cement the bilateral relations between the two nations. He said the two leaders had agreed on several issues which including trade, tourism, and infrastructure.

“I came here to cement the bilateral relations between Zimbabwe and Tanzania. I am only a catalyst and I am confident that the talks between the two nations will continue,” he said resorting to Swahili before breaking into laughter.

During the liberation struggle Mnangagwa operated as a guerrilla in Tanzania were Zanu had several bases from which he probably learnt Swahili.



Yamesemwa mengi kuhusiana na lugha anazomudu mheshimiwa wetu mpendwa rais wa wanyonge.

Kwa mujibu wa mheshimiwa Mnangangwa, maswali ni kwa kiswahili tu maana ndiyo lugha pekee ambayo mgeni wake anayo imudu:

[

Kazi kweli kweli = hapa kazi tu.
Mnapenda uzwazwa sana kwani English ndio lugha ya kigezo cha urais? Warus, wachina, wajapan, waarab na wakorea wanatumia kingereza kwenye ziara zao? Acheni mambo yenu
 
Watu kama wewe mara nyingi mnakuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na pia mnakuwa na mawazo mgando sana.... Too negative

sasa kwani kushindwa kujua kiingeleza na kushindwa kufanya Mawasiliano.?
Hakuna watafasiri wa Lugha?
Mbona wachina na mataifa mengine Km India huja hapa Tanzania na watafasiri kufanya Mawasiliano??

Watu wengine Km wachawi vile? Hakuna hata siku moja mnakuwa na mawazo positive.... Always negative tu...
Certainly you are son of a bastard, you dont even know what I was trying to address. something fu*king you in your head.
 
Najiuliza APA Tanzania tunasoma lugha ya kingereza kuanzia form one mpaka chuo kikuu kwa masomo yote isipokuwa kiswahili, China na ujerumani wanasoma lugha zao kwa elimu yao mpaka wanamaliza chuo kikuu. Sasa Tanzania tuna fananishwaje na wao
Wakishindwa ki inglish wanakimbilia kiswahili kama kichaka cha kujifichia kuwa tuna promote lugha yetu, kama ni hivyo kwanini media of instruction kuanzia ngazi ya sec. hadi vyuoni ni English na hawashughurishi kubadilisha. Ni unafiki unafiki tu watz kama alivyosema mwana jf mmoja humu.
 
Hakuna mtu anayembeza bali tunasema ukweli kuwa hajui lugha ya kiingereza kitu ambacho siyo dhambi.
Mimi naona watu wengi wanambeza kutokana eti hajui vizuri kiingereza.
Kwangu mimi namuona jiwe sio kiongozi mzuri sio kwa wababu hajui kiingereza, mimi namuangalia kivingine husuaani kwenye utawala wa Sheria jamaa anasigina Sana Sheria za nchi ikiwemo katiba ya nchi kitu ambacho kwangu mimi ni mapungufu makubwa Sana hata kama angekuwa anajua kiingereza Kama malkia mwenyewe
 
Mbona Rais wa China hutumia lugha Yao ya kichina ktk mikutano yake ya nje na ndani ya nchi? Mwacheni mheshimiwa Rais afanye kazi yake akitumia lugha ya taifa lake. Kwani lugha ya kiingereza ndiyo inaleta maendeleo? Kama ni hivyo taifa la China lingefika hapo lilipo kiuchumi?
 
Ahahah uko ccm wakizungumza kiswahili mpaka raha ila kwenye yai wanakua wanyonge...they dont know english bitches.
 
Back
Top Bottom