Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

CCM KABLA KABISA YA UTEUZI WALIKUWA NA KIGEZO KUWA MGOMBEA AWE NA UELEWA NA UZOEVU WA MASUALA YA KIMATAIFA.kweli ujinga mwingine.mbona watu hawasomi magazeti wakaelewa ya duniani.dunia sio idadi ya paka na mbwa!
 
Faiza unaonekana hata siku alipotamka hayo ww hukumsikia

You just trying to make deduction from ur own illusions
 
Ameteleza nini?

labda kwa mtu kama finyu kama wewe ndiyo unaweza kumuona hivyo.

Lakini kwa msomi kama Magufuli nnamelewa anasema nini.

Labda wewe huelewi kuwa Saddam alitangaza kuwa Kuwait ni yake na alitangaza mpaka kuibadilisha jina na kuiita Qadhima.

kwa hiyo Kikwete kukumbusha Saddam wa Kuwait wala hajakosea. Magufuli alikuwa anaongelea kuhusu watu kukurupuka na "mabadiliko" na Saddam alikurupuka na kuibadilisha Kuwait na ndipo umaarufu wake mkubwa ulipoanzia na ndipo kulimpelekea mpaka kukosa yote.

Labda ulikuwa huelewi yote hayo, si kulaumu kwa kuwa nnajuwa ujinga upo kwenye damu yako. Au...

Hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Na wew hyo sehemu ya kikwete ulitaka kusema magufuli au ndo kikwete ni magufuli?
 
Ameteleza nini?

labda kwa mtu kama finyu kama wewe ndiyo unaweza kumuona hivyo.

Lakini kwa msomi kama Magufuli nnamelewa anasema nini.

Labda wewe huelewi kuwa Saddam alitangaza kuwa Kuwait ni yake na alitangaza mpaka kuibadilisha jina na kuiita Qadhima.

kwa hiyo Kikwete kukumbusha Saddam wa Kuwait wala hajakosea. Magufuli alikuwa anaongelea kuhusu watu kukurupuka na "mabadiliko" na Saddam alikurupuka na kuibadilisha Kuwait na ndipo umaarufu wake mkubwa ulipoanzia na ndipo kulimpelekea mpaka kukosa yote.

Labda ulikuwa huelewi yote hayo, si kulaumu kwa kuwa nnajuwa ujinga upo kwenye damu yako. Au...

Hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Unatia huruma kweli maskini ajuza mbona video tunayo na ipo clear? Unadhani hatujaisikia video? Jamani iwekwe hapa hiyo video tukate mzizi wa fitina. Magufuli ni Mulugo mwingine. Hana kitu!
 
Jamani ninayo video hapa nipeni namba niwatumie. Alisema akiwa Tanga tena kwa maringo kabisa. Kumbe Magufuli anaongea km Kasuku hajui anachozungumza. Inawezekana hata ahadi anazotoa amekaririshwa tu!
 
hiyo tunaita "error" na sio mistake, so ni kawaida kukosea ilihali unajua au kupitiwa in somehow

Unajua tofauti kati ya error na mistake? Error ni km kukosea spelling mfano badala ya kuandika error unaandika eror. Lakini mistake ni kukosea facts. Sasa Magufuli amekosea facts tena kajaribu kurekebisha ndio kazidi kukosea. Mulugo style. Huyu jamaa akibahatika kupata uais itakuwa ni aibu kubwa kwa watanzania. Kumbe anakariri tu! Hapa inaonekana wazi hajui yanayoendelea huko nje. Yeye kakariri chemistry yake na hesabu hajui kingine. Huyu ndio mnasema Lowasa amwogope kwa midahalo?
 
Unatia huruma kweli maskini ajuza mbona video tunayo na ipo clear? Unadhani hatujaisikia video? Jamani iwekwe hapa hiyo video tukate mzizi wa fitina. Magufuli ni Mulugo mwingine. Hana kitu!

Weka wacha porojo, mimi nimeisikia pia. hakuna mahala alisema Saddam ni Rais wa Kuwait. Kasema "Saddam" akasita kidogo "yule wa kuwait".

Naam, hajakosea, kwa tunaofatilia mambo ya dunia tunajuwa kuwa Saddam alifanya papara ya kuivamia na kuibadilisha Kuwait kuwa Qadhima na ndicho chanzo cha kumuondoa duniani. Kumbuka hilo.
 
Unajua tofauti kati ya error na mistake? Error ni km kukosea spelling mfano badala ya kuandika error unaandika eror. Lakini mistake ni kukosea facts. Sasa Magufuli amekosea facts tena kajaribu kurekebisha ndio kazidi kukosea. Mulugo style. Huyu jamaa akibahatika kupata uais itakuwa ni aibu kubwa kwa watanzania. Kumbe anakariri tu! Hapa inaonekana wazi hajui yanayoendelea huko nje. Yeye kakariri chemistry yake na hesabu hajui kingine. Huyu ndio mnasema Lowasa amwogope kwa midahalo?

hakukosea fact hata chembe.

Nini chanzo cha Saddam kutandikwa na NATO nzima?
 
hakukosea fact hata chembe.

Nini chanzo cha Saddam kutandikwa na NATO nzima?

Kwa nn hatutaki kukubali makosa

Kila mtu anajua mr ni mwepesi sana ktk siasa za ulimwengu

Faiza unachojaribu kusema ww ni sahihi

Ila magufuli nia yake na anaamini kuwa saddam ni rais wa kuwait

Hata leo umuulize swali rais wa kuwait ni nani atasema saddam

Kauli ya mtu is being judged basing on context

Context ya maongezi yake alimaanisha ni rais wa kuwait
 
hiyo tunaita "error" na sio mistake, so ni kawaida kukosea ilihali unajua au kupitiwa in somehow

..tatizo Dr.Magufuli alikuwa anasema uongo na kuzusha.

..mabadiliko ambayo wa-Tz wanayataka yana nia ya kutuepusha tusiingie ktk machafuko kama yaliyotokea Libya na Iraq.
 
Kampeni ya magufuri ni kichekesho .wanatamka kiwajiacho na sio kilicho kwenye ilani.Hata wimbo wao unawasuta.......ccm ni ile ile.....huku magufuri akizungumzia mabadiliko.!kwa ufupi hawakujipanga.!
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo F. Mbowe kaonyesha kushangazwa na jinsi Chama Cha Mapinduzi kinavyohaha kama vile ndio wapinzani na Ukawa ni chama dola... Hali kama hiyo ya chama dola (CCM) kuhaha haijawahi kutokea kipindi cha nyuma kama safari hii. Hii ni dalili ya kushindwa mapema sana!

Vile vile mwenyekiti huyo kashangaa baadhi ya watu wanataka mdahalo wakati mgombea wa CCM hajui hata Rais wa Libya ni nani.... Ikumbukwe wiki iliyopita Magufuli akiwa Tanga alisema Rais wa Libya aliyepinduliwa alikuwa ni Saddam Hussein baadaye akasema hapana sio Saddam... Saddam alikuwa wa Kuwait.... Huyo ndio mgombea ambaye chama chake kinataka mdahalo..

Na mwisho Mbowe kaonyesha hali ya kumshangaa Magufuli kutumia logo ya M4C na kusema huko sasa ndiko kuchanganyikiwa zaidi na kuishiwa kwa chama hicho na mgombea wake.....
 
Attached tweet
 
Attachments

  • 1442506340386.jpg
    1442506340386.jpg
    48 KB · Views: 2,856
Anajaribu kukariri ilani yao lakini akimwaza Lowassa anasahau
 
Back
Top Bottom