Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Wanasema mapedlock ni king'amuzi remote anayo jk. Nadhani hapa mtaelewa vema .
 
Magufuli hajui lugha, hata huko UN ataweza ongea Kisukuma yule....
Hata hiyo Doctorate itakuwa alisoma kwa kiswahili
Sio suala la kujua au kutojua Kiswahili au Kiingereza, huu ni uthibitisho wa elimu inayosisitiza kukariri. Tunaweza kusema kuwa Makufuli ni mbobezi katika mfumo wa elimu ya kukariri. Kama jambo hajalikariri, ni vigumu kwake kulielezea kwa usahihi na ufasaha. Hajajishughulisha na kukariri masuala ya kimataifa kwa sababu muda wa uwaziri wake amekuwa akikariri urefu na upana wa barabara hizo finyu kama vinjia vya panya. Tanzania ya karne ya 21 tunajivunia vinjia vya panya.
 
Tatizo lake ni kupenda mijisifa ya kijinga.
Anajikuta anaropoka tu ili watu wacheke. Mi namuona kama Political Comedian kama Mtikila.

Babu duni ndio kichekesho.

Magufuli mbele kwa mbele.
 
Dr.Magufuli unataka umlinganishe na huyo mwenye shahada ya sanaa za maigizo?ebu tuache mizaa kwenye mambo muhimu

Lijinga kama fisi wewe,huna akili umeambiwa kuwa magufuli ni kihiyo haijui dunia sasa unataka ushindani gani tena zezeta la lumumba wewe?
 
Hahahahhaaaaa akome kutudanganya!!

Moja kati ya maswali muhimu ambayo wagombea wa Urais duniani kote wamekuwa wakiulizwa ni kuhusu; sera za kimataifa "foreign policy".

Rais anabidi ajue mambo ya nje na ndani ya nchi yake ili aweze kujua athari nchi yake inaweza kukumbana nazo kutokana na sera hizo za kimataifa.

Kwa JPM ameonesha kwamba,

1.Hamjui Saddam. Hili lipo wazi.
2.Haijui nchi ya Kuwait.
3.Haijui Iraq
4.Haijui vita ya Iraq vs USA

Hii ni hatari sana kwa dunia ya leo.
 
Magufuri ni mtu wa kukariri,sio kuelewa, mtu anaekariri muda flani husahau, hata sasa ukimshtukiza barabwra ya bagamoyo mwenge atakwambia ina kilomita 1000.

Mawaziri wa kikwete ni mzigo,vihiyo. Mulugo alisema Tanzania inatokana na zimbabwe na zanzibar. Pia akasema mbeya ina ukubwa wa kilomita 29 za mraba.

Saddam alikua rais wa kuwait?

mkuu umeamua kuniuwa kiivi leo loh sina mbavu mtoto wa kike. Anyway ebu niende mtaana kufundisha watu jinsi wa kupiga kura
 
Hahah bado mnamwita fisadi...wakati mlishaambiwa richmond ni ya kikwete...
 
Amechoka yuko kwenye mechi ya mpira haina magoli ni kupiga mashuti tuu
 
Muoneeni huruma basi
mtu azaliwe chato huko aje kujua tofauti ya Kuwait na Iraq?...
mostly ni nchi anazosoma tu kwenye news..

Katika Tanzania aliyo zaliwa,akakulia na kusoma mpaka Chuo Kikuu,elimu yetu haikuwa na tofauti yoyote kubwa kati ya Chato na kwingineko Tanzania. Huyu atakuwa na matatizo zaidi ya tunavyo waza!
 
Back
Top Bottom