Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

hakukosea fact hata chembe.

Nini chanzo cha Saddam kutandikwa na NATO nzima?

hahaha. rais wa Libya sadam husein hapana wa Libya gadafi sadam husein wa Kuwait. hahaha mambo ya nato yanakujaje hapa? Rais wa Kuwait ni lini kawa sadam husein?
 
Mbowe anajua nini. Halafu si lazima kukariri majina ya marais wa dunia. Nenda nchi nyingi zilizoendelea uone kama wanawafahamu hata mawaziri wao. Bwana Mbowe hiyo si hoja. Njooni na mtu wenu kwenye mdahalo muone kama ataweza kuongea chochote. Hawezi ndo mana mnatapatapa nakutaka eti wenyeviti ndo washiriki. Kwani hao ni wagombea? Acha hizo.
Jamani nyie si mlikataa wagombea wenu wasishiriki midahalo!?
Si mlimfukuza tido Muhando Kazi?
Mrudisheni sasa. ..------!
 
Col. Muammar Gaddaf hakuwa rais wa libya bali ni kiongozi wa libya na ndivyo alivyotambulika duniani kote na mwaka 2011 wakati nchi za magharibi zilipojaribu kutumia cheo cha urais kumjadili wakati wa mgogoro wake na lebels, Col. Gaddaf alisema yeye sio rais wa libya bali ni kiongozi wa libya na hata utambulisho wake ulianza kwa Libyan leader na sio Libyan president.
Mbowe arudi shule.
 
Col. Muammar Gaddaf hakuwa rais wa libya bali ni kiongozi wa libya na ndivyo alivyotambulika duniani kote, hata utambulisho wake ulianza kwa Libyan leader na sio Libyan president.
Mbowe arudi shule.

We ni mji.nga namba moja katika dunia hii....
 

Attachments

  • 1442508820901.jpg
    1442508820901.jpg
    57.2 KB · Views: 332
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo F. Mbowe kaonyesha kushangazwa na jinsi Chama Cha Mapinduzi kinavyohaha kama vile ndio wapinzani na Ukawa ni chama dola... Hali kama hiyo ya chama dola (CCM) kuhaha haijawahi kutokea kipindi cha nyuma kama safari hii. Hii ni dalili ya kushindwa mapema sana!

Vile vile mwenyekiti huyo kashangaa baadhi ya watu wanataka mdahalo wakati mgombea wa CCM hajui hata Rais wa Libya ni nani.... Ikumbukwe wiki iliyopita Magufuli akiwa Tanga alisema Rais wa Libya aliyepinduliwa alikuwa ni Saddam Hussein baadaye akasema hapana sio Saddam... Saddam alikuwa wa Kuwait.... Huyo ndio mgombea ambaye chama chake kinataka mdahalo..

Na mwisho Mbowe kaonyesha hali ya kumshangaa Magufuli kutumia logo ya M4C na kusema huko sasa ndiko kuchanganyikiwa zaidi na kuishiwa kwa chama hicho na mgombea wake.....
kwani mbowe anajua urefu wa barabara zote nchini zinazojengwa mahali ilipo mirafi hiyo na gharama zake. magufuli sio waziri wa mambo ya nje. dj mbowe yeye bila shaka anajua majina ya vibao vipya na wanamuziki wanaovuma.
 
*Moderator wacha kuificha hii mada ,imekuwa unaifukuziana kuihamisha mwanzo uliifuta kabisa aafu umeihamisha

MARUFUKU WaGOMBEA UKAWA KUSHIRIKI MDAHALO wa aina YEYOTE,fullstop.

mnategwa ili kusaidia angalau kidogo kuisafisha CCM.,
Na mwandishi wetu.
Sasa Mwiba nachoma kidogo,kuanzia leo ni marufuku kwa Mgombea yeyote wa UKAWA kushiriki Mdahalo wa aina yeyote ile.

Na ni marufuku kwa UKAWA kushiriki mdahalo ambao CCM watakuwepo ,CCM ni chama kilichopoteza uhalali wa kuiongoza TANZANIA ,hivi unafanya nayo MDAHALO kwa ajili ya nini ? Kuwasafisha ? Mbatia hakukosea ila aliwaweka sawa MiCCM nao wameingia kichwakichwa.Na kitanzi kimeshavutwa.

Wekundu na weusi hakuna nyeupe kwa maana CCM imezamishwa kwenye ardhi sio kwenye maji ,tuseme imefukiwa kichwa chini nyayo tu ndio zimetokeza.

Hakuna kufanya nao mdahalo wala ndugu yake mdahalo ,mdahalo wanataka kueleza nini ? Wanataka kuonyesha kama wao ndio wenye uongozi unaofaa kutawala Tz ? FIFTEFOR yeaz ,,lipi jipya zaidi ya ahadi FAKE ,mnazo media elekeeni huko tangazeni toeni ahadi za kila dizaini ,ila nyinyi kukutanishwa na viongozi wa UKAWA mkafanya mdahalo ni HARAMU.

Viongozi wa UKAWA kuweni makini sana msije mkaingia katika MDAHALO na CCM na atakaeingia huyo atakuwa kanunuliwa na CCM na aende ila tutakuwa tumeshamuelewa.

Kama tulivyosema hatutaki sera wala ilani ndio hivyo hivyo hatuhitaji mdahalo wala mapatano ,maneno ya wananchi ni mawili "...CCM iondoke..." hakuna nyongeza ndio maana yake Mabadiliko kwanza mdahalo baadae
 
Weka wacha porojo, mimi nimeisikia pia. hakuna mahala alisema Saddam ni Rais wa Kuwait. Kasema "Saddam" akasita kidogo "yule wa kuwait".

Naam, hajakosea, kwa tunaofatilia mambo ya dunia tunajuwa kuwa Saddam alifanya papara ya kuivamia na kuibadilisha Kuwait kuwa Qadhima na ndicho chanzo cha kumuondoa duniani. Kumbuka hilo.

Tunajua Magufuli amewaaibisha na hamkutamani katika kipindi cha kampeni kama hiki afanye kosa kama hilo ambalo limemfunua uwezo wa mdogo wa general knowledge. Mlidhani kumwacha aongee muda mrefu ni sifa kumbe ndio napokosa cha kusema anaanza kujichanganya na kuonesha utupu wake kichwani! Sijui ccm waliangalia sifa gani mpaka wakaamua kumteua Magufuli. hana sifa kabisa ya kuwa rais. Hata faiza ulisema tutamkumbuka kikwete kwa sababu magufuli ni bomu. Magufuli hakuandaliwaq kabisa kwenye hii nafasi ndio maana haelewi azungumze nini!
Ni aibu aibu kubwa kwa mgombea urais kuonesha upeo mdogo kiasi hicho. Kumbuka alijaribu kurekebisha kosa na akakosea zaidi km Mulugo alivyofanya. Hivi ni kimeikuta Tanzania? of all people kweli magufuli ndio ameonekanathe best? Ngoja nitafute CV yake!
 
Hahahahahahaha wanaificha.... Kazi kweli kweli...

Naitamani sana JF ya miaka 2 iliyopita
 
Mbowe anajua nini. Halafu si lazima kukariri majina ya marais wa dunia. Nenda nchi nyingi zilizoendelea uone kama wanawafahamu hata mawaziri wao. Bwana Mbowe hiyo si hoja. Njooni na mtu wenu kwenye mdahalo muone kama ataweza kuongea chochote. Hawezi ndo mana mnatapatapa nakutaka eti wenyeviti ndo washiriki. Kwani hao ni wagombea? Acha hizo.


OK uko sahihi umepewa shilingi ngapi??

Taifa liliojaa mazombi
 
Mbona kama mwenyekiti ana hoja nyepesi swala ni kufanya mijadala tu hakuna kurudi nyuma, kwa kuwa mbona hata mgombea wa ukawa mara nyingine husahau jina la mke wake ndio itakuwa kwa Dr kukosea kuhusu majina ya watawala wa nchi nyingine, wakati Mzee ana sahau jina la mke wake
 
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
SalutationHon.
First Name: Dr. John
Middle Name: Pombe Joseph
Last Name:Magufuli
Constituent: Chato
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 9144, Dar es Salaam
Office Phone: +255 713 322 272/+255 754 292 580Office Fax: + 255 22 2124505
Office E-mail: jmagufuli@parliament.go.tz
Member Status: Active
Date of Birth 29 October 1959

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
1014.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Elected Member[/TD]
Chato Primary School
Mkwawa High School
Lake Secondary School ¿ Mwanza
Katoke Seminary Biharamulo, Kagera
Mkwawa College of Education
University of Dar es Salaam
Universities of Dar es Salaam, TZ &Salford -U.K.
University of Dar es Salaam.

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1967[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]

[TD="align: center"]ACSEE[/TD]
[TD="align: center"]1979[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]

[TD="align: center"]CSEE[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]1978[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]

[TD="align: center"]CSEE[/TD]
[TD="align: center"]1975[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]

[TD="align: center"]Diploma in Education (Sc.) Chem., Maths&Edu.[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]Diploma[/TD]

[TD="align: center"]B.Sc Ed. (Hons) Chem.&Maths[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]Bachelor[/TD]

[TD="align: center"]MSc. (Chem)[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]Masters Degree[/TD]

[TD="align: center"]PhD (Chem)[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]PhD[/TD]
Company Name
Ministry of WorksMinister
Ministry of Livestock and Fisheries DevelopmentMinister
UN-HABITATCo-chair World Urban Forum (III)
Ministry of Lands and Human SettlementsMinister
World Road Congress (PIARC)1st Delegate
Mtwara Development CorridorMember
Ministry of WorksMinister
Ministry of WorksDeputy Minister
Tanzania Chemical SocietyMember
Nyanza Co-operative Union(NCU) Ltd.- Mwanza.Industrial Chemist
Sengerema Secondary SchoolTeacher(Chemistry and Mathematics)

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2/8/2008[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]

[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]

[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
Chama Cha Mapinduzi - CCM( Biharamulo East)Member of Parliament of Tanzania
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
Mulokozi A. M.; Akwilapo, L.D.: Buchweishaija, J.; Magufuli J. P., and Kyobe, J. ¿Securing the Mechanism of the Decomposition of CaCO3 by the Thermodynamics of the Reaction¿, East and Southern Africa Environmental Chemistry Workshop, pp 71-83, 1st ¿ 5th December 2003, Dar es Salaam 5 Dec 2003
Magufuli, J. P., ¿Funding requirements for the EAC Road network project the East African Community Roads Development partners Consultative meeting 29th ¿ 30th April, 2003 Arusha Tanzania. 30 Apr 2003
Magufuli, J. P., (MP) PIARC First Delegate and Minister for Works of the United Republic of Tanzania.¿ Access to Mobility a basic Social Service, Special Trunk Roads project, Design and Build Tanzania model, XXIInd World Road Congress, 19 ¿ 25 October, 2003 Durban, South Africa. 25 Oct 2003
Mulokozi, A. M., Kyobe, Magufuli, J. P. and R. Whitehead. ¿A New Rate Equation for Solid State Decompositions and its application to the Decomposition of CaCo3. TCS Inaug. Conf. Proc., 11 ¿ 16 July, 1999, p162 ¿ 183. 16 July 1999
Magufuli, J. P., ¿Background of the Mtwara Development Corridor¿ Meeting of the head of States from Malawi, Tanzania, Zambia and Mozambique during the Rounding of the Mtwara Development Corridor, 15 December, 2004, Lilongwe ¿ Malawi. 15 Dec 2004

[TH="colspan: 2, align: left"] PUBLICATIONS [/TH]

[TH="class: text_menu"]Description [/TH]
[TH="class: text_menu"]Date[/TH]
 
Back
Top Bottom