Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Duh nani kamwaga pombe yangu nauliza. Haya Dr. atauweza mdahalo kweli kama hawezi tofautisha Iraq na Kuwait ? si atahororoja tu? haweza ahidi atajenga reli kwa kiwango cha lami? #UnaandikaLakini?
 
Kutumia logo ya watu au kampuni nyingine. Kwenye nchi nyingine panachimbika. Sema bongo kwasababu ccm wamefanya nchi ka yao tu.
 
wanacopy kila kitu tukichonga ufunguo wanachonga msumeno, tukiitisha waandishia wa habari nao pia mwaka ccm inapumulia mc
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo F. Mbowe kaonyesha kushangazwa na jinsi Chama Cha Mapinduzi kinavyohaha kama vile ndio wapinzani na Ukawa ni chama dola... Hali kama hiyo ya chama dola (CCM) kuhaha haijawahi kutokea kipindi cha nyuma kama safari hii. Hii ni dalili ya kushindwa mapema sana!

Vile vile mwenyekiti huyo kashangaa baadhi ya watu wanataka mdahalo wakati mgombea wa CCM hajui hata Rais wa Libya ni nani.... Ikumbukwe wiki iliyopita Magufuli akiwa Tanga alisema Rais wa Libya aliyepinduliwa alikuwa ni Saddam Hussein baadaye akasema hapana sio Saddam... Saddam alikuwa wa Kuwait.... Huyo ndio mgombea ambaye chama chake kinataka mdahalo..

Na mwisho Mbowe kaonyesha hali ya kumshangaa Magufuli kutumia logo ya M4C na kusema huko sasa ndiko kuchanganyikiwa zaidi na kuishiwa kwa chama hicho na mgombea wake.....
Mbowe anajua nini. Halafu si lazima kukariri majina ya marais wa dunia. Nenda nchi nyingi zilizoendelea uone kama wanawafahamu hata mawaziri wao. Bwana Mbowe hiyo si hoja. Njooni na mtu wenu kwenye mdahalo muone kama ataweza kuongea chochote. Hawezi ndo mana mnatapatapa nakutaka eti wenyeviti ndo washiriki. Kwani hao ni wagombea? Acha hizo.
 
Wananchi wa Libya walichoshwa na familia ya Ghaddafi kujilimbikizia utajiri wa nchi huku wananchi wakiwa hawana hata pesa za mahari mpaka afurahi Ghaddafi ndio vijana wa Libya waoe.Wakati huo Mutaseem na Seif Al Islam wakinunua majumba,magari ya kifahari na kumiliki hisa katika timu za ulaya.Na ndiyo yanayofanyika CCM.
 
Hapana- ukawa yapo majembe yenye akili sana; kina mbowe;mbatia;mnyika;mdee;kubenea ;masha n.k watajuwa cha kufany, lazima hatua zichukuliwe!
 
Bora hata Magufuli,Lowasa je hata madini yaliyomo nchini kwake hayajui,anabaki tu kusema madini madogo madogo ,madini makubwa makubwa
 
Mbowe anajua nini. Halafu si lazima kukariri majina ya marais wa dunia. Nenda nchi nyingi zilizoendelea uone kama wanawafahamu hata mawaziri wao. Bwana Mbowe hiyo si hoja. Njooni na mtu wenu kwenye mdahalo muone kama ataweza kuongea chochote. Hawezi ndo mana mnatapatapa nakutaka eti wenyeviti ndo washiriki. Kwani hao ni wagombea? Acha hizo.

Kiazi kabisa ..... kama mtaka urais Wa nchi hajui current affairs nani ajue ..... ? na kama hajui kwanini aropoke na kupotosha?

huna cha kupost kaa kimya
 
CCM inakufa na Mungu anatorahishia kazi ya kuiua.

Mdahalo wanaoutaka wataishia kuaibika vibaya sana.

Tutawaonesha jinsi gani magufuli hakujiandaa kuwa rais.
 
mimi ni mwana ukawa napenda sana mdahalo ila kwa midahalo ya kinafiki haina tija hao waandaji sijui wanatumia akili za kuku kwa nini wasingeandaa midahalo ndani ya vyama kwanza then waende na majimboni hapo wangekua wametutendea haki lakini sio kwa sasa
 
Kama wameshauriana na kuona ni sawa tu mgombea kutumia M4C. Nadhani ni aibu ni vyema angejiita MAROAD watu wangemuelewa tu.
 
Mbowe anajua nini. Halafu si lazima kukariri majina ya marais wa dunia. Nenda nchi nyingi zilizoendelea uone kama wanawafahamu hata mawaziri wao. Bwana Mbowe hiyo si hoja. Njooni na mtu wenu kwenye mdahalo muone kama ataweza kuongea chochote. Hawezi ndo mana mnatapatapa nakutaka eti wenyeviti ndo washiriki. Kwani hao ni wagombea? Acha hizo.

Sasa wewe ndugu yangu unajua nini?
Au umebugia foma povu linakutoka? Tulizana sindano inapenya taratiibu.
Hakuna mdahalo wala mdahiliwa. Kufaulu Test sio kufaulu Final. Subiri Final Exam Tarehe 25 utasikia maumivu tehteh
 
Wako wapi waandaaji huru Wa Mdahalo Tanzania?

Ni kina nani waandaaji huru, watakaoweza kuleta mdahalo usio na upendeleo?
 
Back
Top Bottom