Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

Hahahha sasa mie naomba ni bora,usiseme hilo mwenzake ana makubwa zaidi,kama ndo huko,kuteleza yeye nafuu,mwenzake msahaulifu,hapa kazi tu

Kazi tu baba yako atakupa ajira? Acha ushabiki mandanzi wewe kiazi. CCM (Nyani) lazima afe watu walime mashamba
 
Eti Magufuli aliteleza kusema watu wa Libya walimuua Saddam
Aliteleza kusema Saddam ni wakuwait

Aliteleza kusema Watu wa Kigamboni kama hawana nauli ya ferry wapige mbizi

Aliteleza kuwambia watu wa Buziku watumie kinyesi chao kutengemeza Lami

Aliteleza kuuza nyumba za serikali 

Ni kweli kabisa huwa anateleza,kama alivyoteleza kugombea urais

Angalia usiteleze kumpa kura yako
Pamoja na kuteleza, lipo hili la kushangaa na nadhani kushangaa kwa Magufuli ni matokeo ya mshtuko wa kuteuliwa.

Akashangaa hospitali kukosa dawa!
Akashangaa shule kukosa waalimu!
Akashangaa wananchi kukosa maji!
Akashangaa taifa kukosa umeme!
Akashangaa watumishi wa serikali kukosa nyumba!

Akashangaa, akashangaa, akashangaa...

Mwisho wa siku akawashangaa waliotufikisha hapo
Akaishangaa serikali iliyotufikisha hapo
Akaishangaa chama iliyounda serikali hiyo

Mwisho wa yote akashangaa yeye kuteuliwa
Bila shaka atazidi kushangaa mbele ya safari.

Viatu vya Uraisi Magufuli vinampwaya.
 
Sincerely Magufuli hafai kuwa rais. CCM hawako serious kabisa! Kuwa mtendaji mzuri kwenye wizara hakutoshi kumfanya mtu awe rias. urais ni zaidi ya kuwa kuwa msimamizi mzuri site. urais is about leadership. Kuonesha njia.
 
CCM hawakutegemea kukutana na ushindani waliokutana nao kwenye Kampeni nadhani jamaa wa UKAWA waliwategea kuwaaminisha LOWASA ni FISADI kwahiyo CCM wakaingia chaka chaajabu waliokuwa wanamtangaza vibaya amekuwa mwiba mkaki kwa CCM nadhani uchaguzi wa mwaka huu....hawatausahau

Kwa mara ya kwanza CCM wanaendeshwa na UKAWA bila wao kujua.
 
..mimi hiyo confusion ya Saddam na Gaddafi nadhani siyo dili sana.

..kinachonitatiza zaidi ni kwamba Magufuli ameamua kusema UONGO waziwazi.

..Magufuli anayo rekodi ya kusimamia ujenzi wa barabara nchi nzima. sijui kwanini hazungumzii hayo anaamua kuwalaghai wananchi.

..lakini kama hiyo haitoshi kaja na mpya kwamba M4C maana yake ni Magufuli for Change. Labda kampeni za namna hiyo zinalipa, lakini mimi naona kama ni utoto fulani hivi.

..kuna kitu hakiko sawa ktk hizi kampeni za ccm. this time naona kama hawako disciplined kama miaka ya nyuma.

cc Nguruvi3, Pasco, ZeMarcopolo, Mag3, The Boss
Ni utoto wa ajabu na magufuli ametoka kwenye ile hali yake ya kuonekana mtu serious na kuwa mshkaji..alianza kuharibu alivyoanza kuigiza kupiga ngoma na kuzunguka na wasanii kama kina wema..ule userious na ukakamavu na purity kwenye utendaji imepotea
 
kuna watu ulaya ulaya hawajui tanzania ipo wapi .... huko ulaya na wanapiga kazi vizuri tu.....
 
Yaani hapo ilibaki kidogo aseme alikuwa rais wa china.. Maana ndo anaowafaham vzr wakandarasi wake, lol!
 
ULofa ni kukazania trivial issues an kuacha kueleza Watanzania Ukawa itafanya nini ikichukua nchi. Sitegemei kusikia issues za kujadiliwa na watu wasio na Elimu. Mbowe alizungusha round about form six, Lowasa ana Pass ya UDSM PFA. Zero MBA yake hata research hajui ilifanywa na nani na wapi. I will be surprise UKAWA kujadili Issues. Natural Law inasema AKILI KUBWA LAZIMA IENDESHE AKILI NDOGO
 
Mchungaji msigwa na wabunge wa ccm na chama chao akili ndogo haiwez kutawala akili kubwa hahaha
 
ULofa ni kukazania trivial issues an kuacha kueleza Watanzania Ukawa itafanya nini ikichukua nchi. Sitegemei kusikia issues za kujadiliwa na watu wasio na Elimu. Mbowe alizungusha round about form six, Lowasa ana Pass ya UDSM PFA. Zero MBA yake hata research hajui ilifanywa na nani na wapi. I will be surprise UKAWA kujadili Issues. Natural Law inasema AKILI KUBWA LAZIMA IENDESHE AKILI NDOGO

Umesahau "pass" ya JK katika digrii yake ya uchumi.....!!
 
Pamoja na kuteleza, lipo hili la kushangaa na nadhani kushangaa kwa Magufuli ni matokeo ya mshtuko wa kuteuliwa.

Akashangaa hospitali kukosa dawa!
Akashangaa shule kukosa waalimu!
Akashangaa wananchi kukosa maji!
Akashangaa taifa kukosa umeme!
Akashangaa watumishi wa serikali kukosa nyumba!

Akashangaa, akashangaa, akashangaa...

Mwisho wa siku akawashangaa waliotufikisha hapo
Akaishangaa serikali iliyotufikisha hapo
Akaishangaa chama iliyounda serikali hiyo

Mwisho wa yote akashangaa yeye kuteuliwa
Bila shaka atazidi kushangaa mbele ya safari.

Viatu vya Uraisi Magufuli vinampwaya.

Teh teh!. Anashangaa wakati huohuo anasema ana zaidi ya miaka 20 akiitumikia serikalini hiyo hiyo ya CCM.
 
Back
Top Bottom