Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Nguvu za giza zinabeba watu hata wasiofaa kabisa.
 
Watu wa Aina ya JPM ni vigumu kudumu na kuishi Kwa muda mrefu, Kwani watu wapenda Dunia hawajawahi kulidhika na biashara zao haramu, hutafuta kila Wakati kuondoa watu wenye kipingamizi, na watu hao ndio wengi kuliko wapenda haki, ulizia hata maofisini Kwa viongozi wenye vyeo Vya kawaida tu watakwambia
 
Watu waovu huwa wako very strategic na wanajua nini wanataka, ndio maana huwa wanajipanga au kupanga watu kwenye diverse post ikiwamo kwenye mifumo ya kiserikali.
Imagine kuna watu walikuwa wanafaidika na fedha chafu za ndovu, "unga", deals za kuuza bidhaa na huduma serikalini then wakilipwa wanatokemea bila kuleta huduma, Tanzanite kutoroshwa huku India na Kenya kuongoza kwa mauzo ya Tanzanite; bila shaka syndicate za hizo hazikuwa na uwepo wa mtu aina ya JPM kuwa CiC.
Huyu mzee tutamkumbuka sana.
Faraja ya Mungu iwe juu ya familia na Watanzania wote.
 
Magufuli ni mtu wa kusamehe, hana kinyongo
We upo Tanzania ipi?
Askofu Mwamakula katangaza maandamano ,akamsweka ndani.
Na huku inajulikana maandamano ni haki ya kikatiba.
Akina lisu kutishwa kila siku kisa uchaguzi tu hadi wakakimbia nchi.


Alikuwa katili sana , hilo halina ubishi.


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli ni mtu wa kusamehe, hana kinyongo
Sasa alishindwa nini kumsamehe ben sanane had akampoteza na haonekani hadi sasa , hata hivyo alishindwa kabisa kumsamehe tundu lisu had akatuma watu wamtandike risasi za kutosha?
 
Your browser is not able to display this video.


Serikali ya Tanzania inao wajibu wa kuchunguza na kuweka bayana kifo cha Magufuli na si vinginevyo.

Utetezi na kupuuzwa kwa namna yeyote uchunguzi wa kifo cha Magufuli ipo siku huko mbeleni jambo hilo litaleta matatizo makubwa!

Magufuli maisha ya uongozi wake yalijawa kutishwa kuuawa na hilo aliliweka bayana yeye mwenyewe tena mbele ya Viongozi wakuu wastaafu na hakumng'unya kutamka.

Kifo cha Magufuli kichunguzwe kwa sababu kilijawa na sintofahamu kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…