ufyudhi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 771
- 539
uyi rais kama wewe ni mdadisi mzuri akiwa anaongea kwenye tv mfuatilie vizuri movments zake na gestures zake.. utagundua kuwa anaongea anachokifahamu na pia anajitahidi sana kukaushia mambomengi sana ambayo pengine akiyamwaga hadharani hapatakalika hapa..
wengi wanamwona mkurupukaji lkn kiukweli jamaa ana details nyng mno..
wengi wanamwona mkurupukaji lkn kiukweli jamaa ana details nyng mno..