mkuu sukari imefanyaje hujui kama ilikiwa miradi ya watu na sasa serikali itaagiza kwa utaratibu maalumuSasa kama muda ulikwisha hawezi kuniaminisha mm great thinker kuwa eti sijui nani alifanya ashindwe kesi. Labda ni njia ya kujisafisha ili aonekane anamaamuzi mazuri ambayo hayaliingizi taifa kwenye hasara. Vipi kuhusu sukari? Nani kasababisha emefeli? Msiongozwe na ushabiki. Lazima Muwe mnatumia akili zenu
utakaoisaidia serikali?
kuwa makini nchi ilishakuwa shamba la bibi?