DPP alipata mgao mnono sana, this is our opinion as even laymen I mean ice cream vendors realized this mission!Kumbe hata Rais Magufuli alishailalamikia ofisi ya DPP.
Kumbe tulishindwa kesi kwa sababu ya DDP alitaka serikali ishindwe kesi.
DPP alipata mgao mnono sana, this is our opinion as even laymen I mean ice cream vendors realized this mission!Kumbe hata Rais Magufuli alishailalamikia ofisi ya DPP.
Kumbe tulishindwa kesi kwa sababu ya DDP alitaka serikali ishindwe kesi.
Inabidi ulipie tangazo humu JF naona unajipigia Promo.Acha mihemko ka ya ... kazi ya wakili ni kuwakilisha wananchi mahakamani na tunalipwa kwa hilo. Karibu na wewe kasome sheria uje.
Wachina walitumia udhaifu wa vyombo vyetu vya kusimamia/kulinda sheria.Aingilie tu awape muongozo, funga wachina
Inabidi ulipie tangazo humu JF naona unajipigia Promo.
FELESHI ALIKUWA MRA RUSHWA NO MOJA.HALAFU WALE WACHINA WALIKUWA WANAVUA KWA BARAKA ZA IKULU.MAGUFURI ALIKUWA ANAPIGANA VITA AMABAYO MKUU WAKE WA KAZI ALIKUA AKIIFADHILI.NDO MAANA KATI YA MAKOSA 19 DPP ALILAZIMISHWA YAPELEKWE AMAKOSA MAWILI ILI SERIKALI ISHINDWE NA MAGUFURI AONEKANE NI MKURUPUKAJI.KUMBUKA KIKWETWE,LOWASA NA MAMEMBE WALIKUWA HAWATAKI UTENDAJI WA MAGUFURI KWANI ALIKUWA ANAWAFUNIKA HIVYO KUANZA KUMHOFIA KATIKA SAFARI YAO YA KISIASA
Ni Jaji kwa sasa hawezi kusema kituFeleshi hapa anasemwa,Feleshi jitokeze kaka ,ni kweli uliichezea ile kesi ya samaki?
Niambie tangazo linakuwaje ndugu huenda nikweli sijui lkn Usitoke kwenye Mada hii inahusu DPP kuuza Kesi SamakiKumbe hata hujui tangazo?
Niambie tangazo linakuwaje ndugu huenda nikweli sijui lkn Usitoke kwenye Mada hii inahusu DPP kuuza Kesi Samaki
Yaani...wale wachina walioshikwa na MELI wakivua Samaki...zile ni blah blah....kumbe ushahidi ni ....Mambo ambayo hayana ushahidi ni bla bla bla!
ndio bongo hiyo mkuu.Yaani...wale wachina walioshikwa na MELI wakivua Samaki...zile ni blah blah....kumbe ushahidi ni ....
Yaani...wale wachina walioshikwa na MELI wakivua Samaki...zile ni blah blah....kumbe ushahidi ni ....[/QUOTE
Nazungumzia hiyo ya DPP kudaiwa kupewa pesa ili aharibu kesi.
ndio bongo hiyo mkuu.
Ana bahati kwa kuwa ni Jaji vinginevyo angekuwa tayari katumbuliwa!!DPP Feleshi alivuta au?
Jaji wa Mahakama Kuu hawezi kutumbuliwa na Rais kwa sababu Mahakama ni muhimili mwingine wa Dola tofauti na Serikali.Kesho utaskia katumbuliwa
Huyo amejivika ujinga!Magufuli anajaribu kuigeuza jamii, iache ulaghai iwe wazi hakuna kuzunguka wala kuongea siasa.!
Nyeupe iitwe nyeupe Na nyeusi iitwe nyeusi
Jaji wa Mahakama Kuu hawezi kutumbuliwa na Rais kwa sababu Mahakama ni muhimili mwingine wa Dola tofauti na Serikali.
Kumuondoa Jaji wa Mahakama Kuu siyo rahisi kwa sababu it's a long procedure and complex.
Tatizo mnakurupuka kuchangia mkiwa na uwezo mdogo wa kufikiri. Swala la sukari nadhani rais alilifafanua vizuri ila kwa watu mburura kama wewe huwezi kujiongeza.Hakuna kitu kama hicho. Yule ni mzee wa kukurupuka tu. Na sukari atamsingizia nani? Au ndo anataka ajione hakosei?
Ni wapi amesema Jaji Feleshi ni mla rushwa? mambo haya ni magumu sana kuyaelewa, Feleshi ni mwadilifu na mchapa kazi sana aliangushwa na wasaidizi wake na wakati mwingine Ikulu yenyewe.Sasa huyo jamaa kama ni mlarushwa na yupo mahakama kuu ina maana akina kitila,sioi na shose wamepona maana wao kutoa hata 2b ili washinde sio tatizo kabisa kabisa
Hata DPP mwenyewe hakuna anayeweza kumgusa analindwa na katiba, kumuondoa hapo labda umteue kuwa Jaji tu.Jaji wa Mahakama Kuu hawezi kutumbuliwa na Rais kwa sababu Mahakama ni muhimili mwingine wa Dola tofauti na Serikali.
Kumuondoa Jaji wa Mahakama Kuu siyo rahisi kwa sababu it's a long procedure and complex.