MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Nani amekuambia analia lia?Huyu nae kulialia!!!
nadhani hufahamu hata maana na mantiki ya ulichokiandika na kama unadhani unafahamu basi unahitaji elimu zaidi ili kuondoa ujinga.
Nani amekuambia analia lia?Huyu nae kulialia!!!
Nani unayeuliza?Hivi alisomea sheria wapi?
Ni kweli alichezea kama ushahidi ulikuwepo imekuwaje watuhumiwa washinde? Au ule usemi kwamba anayekutwa na manyoya ndiye......hauna maana?Feleshi hapa anasemwa,Feleshi jitokeze kaka ,ni kweli uliichezea ile kesi ya samaki?
hayo ni mambo ya kisheria, hatakiwi kuingilia mahakama. Kama ana ushahidi tofauti si serikali ikate rufaa?
Aingilie tu awape muongozo, funga wachinaKwa sasa ni Jaji Eliezer Feleshi wa Mahakama Kuu Tanzania.
Huyu nae kulialia!!!
Message sent. Then? Au ndo kashamaliza inatosha?Rais Magufuli amesema, message send kwa mtu aliyekuwa DPP kwa wakati huo.
Sasa kama muda ulikwisha hawezi kuniaminisha mm great thinker kuwa eti sijui nani alifanya ashindwe kesi. Labda ni njia ya kujisafisha ili aonekane anamaamuzi mazuri ambayo hayaliingizi taifa kwenye hasara. Vipi kuhusu sukari? Nani kasababisha emefeli? Msiongozwe na ushabiki. Lazima Muwe mnatumia akili zenuKisheria kuna muda maalumu wa kukata rufaa baada ya kushindwa kesi. Muda huo ulishapita zamamani sana.
Hapa Mheshimiwa anatudadavulia wazi namna mfumo wa utoaji haki ulivyooza hapa Nchini. Kama mtu mmoja aweza kuwa sababu ya Serikali nzima kushindwa kwenye kesi yenye manufaa kwa Taifa itakuwaje kwa kikundi cha watu kumi??
Hapa mzee wa Msoga anazidi kupekenyuliwa mpaka chumbani..!! Taifa hili lirajutia kwa miongo kazaa ijayo kwa utawala huu wa awamu ya nne. Hakuna ambalo lilikua haliwezekani ktk awamu hiyo.
Mungu mpe maisha Dumisha ujasiri kwa Ngosha azidi kuwa Imara dhidi ya Madalali na Mafisadi yaliyotapaa kila kona ya Taifa hili.
BACK TANGANYIKA
Rais halalamiki bali alikuwa anaeleza ''madudu'' yaliyoko ndani ya ofisi ya DPP huku alitolea mfano wa kesi ya ''samaki wa Magufuli''.rais nae analalamika
Hakuna kitu kama hicho. Yule ni mzee wa kukurupuka tu. Na sukari atamsingizia nani? Au ndo anataka ajione hakosei?Magufuli anajaribu kuigeuza jamii, iache ulaghai iwe wazi hakuna kuzunguka wala kuongea siasa.!
Nyeupe iitwe nyeupe Na nyeusi iitwe nyeusi
Ondoa alama ya kuuliza upate jawabu.DPP Feleshi alivuta au?
Rais hawezi kumtumbua Jaji kwa sababu Mahakama ni muhimili mwingine wa Dola.Atumbuliwe,
Rais halalamiki.Rais naye analalamika!!!, tunasubiri achukue hatua atumbue au ajitumbue jipu
Nadhani hafahamu naye ni wale wale walio ozaRais halalamiki, anasema kilichotokea wakati wa kesi ya samaki aliokamata wakati ule!
Uzuri Rais anafahamu kila palipooza. Ukifahamu tatizo ni nusu ya kutatua tatizo lenyewe