mukandarasi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 932
- 275
Kumbe hata Rais Magufuli alishailalamikia ofisi ya DPP.
Kumbe tulishindwa kesi kwa sababu ya DDP alitaka serikali ishindwe kesi.
Huyo DPP anatumbuliwa lini?
Kumbe hata Rais Magufuli alishailalamikia ofisi ya DPP.
Kumbe tulishindwa kesi kwa sababu ya DDP alitaka serikali ishindwe kesi.
Sidhani kama umemuelewa alivyosema alienda kulalamika kwa Jaji mkuu.Wewe unaamini hilo? Jaji Mkuu anaweza vipi kuongeza mashtaka yaliyoondolewa na DPP mfano? na kwa nini hayakurejeshwa yote kama DPP hakuwa na hoja? lakini tukumbuke kesi ni ushahidi, na pia DPP ni taasisi.
Mkuu umewahi kuwa na Kesi mahakamani au nawee unasikia habari kwa watu.....kwa taarifa yako Kwenye Mahakama zetu Mwenye HELA ndio anaamua matokeo ya KESI msibaki kuimba nadharia humuWewe unaamini hilo? Jaji Mkuu anaweza vipi kuongeza mashtaka yaliyoondolewa na DPP mfano? na kwa nini hayakurejeshwa yote kama DPP hakuwa na hoja? lakini tukumbuke kesi ni ushahidi, na pia DPP ni taasisi.
mhuuum hilo jina vipi, wewe ni mjukuu wa Ng'wana Ng'weshemi nini?Wewe unaamini hilo? Jaji Mkuu anaweza vipi kuongeza mashtaka yaliyoondolewa na DPP mfano? na kwa nini hayakurejeshwa yote kama DPP hakuwa na hoja? lakini tukumbuke kesi ni ushahidi, na pia DPP ni taasisi.
Ni kweli aliteuliwa na Rais Kikwete kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.Sasa mbona huyo Feresh sasa hivi jaji si ndiyo ataichezea anavyotaka
.
Sidhani kama umemuelewa alivyosema alienda kulalamika kwa Jaji mkuu.
Nadhani point pale ilikuwa yeye kama Waziri wa wakati huo (hasa kutumia mwanasheria wa Wizara, waliwakuta watuhumiwa na makosa 19). Na ndo hayo anayoyasema. Sasa baada ya kuona kile alichokuwa anakijua hakijafikishwa mahakamani, ilibidi alalamike kwa Jaji mkuu. Na kwa kuwa vyote ni vyombo vya serikali (DPP na Jaji Mkuu) nadhani Jaji atakuwa amewasiliana na ofisi ya DPP kuhusu hilo ndo DPP akaongeza makosa mengine mawili jumla yakawa makosa matatu.
Point inakuja, kama DPP mwanzo aliona kosa moja, imekuwaje baada ya Waziri kulalamika makosa yaliongezeka? (Kwa akili ya kawaida tu utaona kuna mchezo ulokuwa ukiendelea).
Mkuu umewahi kuwa na Kesi mahakamani au nawee unasikia habari kwa watu.....kwa taarifa yako Kwenye Mahakama zetu Mwenye HELA ndio anaamua matokeo ya KESI msibaki kuimba nadharia humu
Je hayo mashtaka yaloongezwa yalithibitika mahakamani? Tulie na wapelelezi wetu ndo janga, kesi ni ushahidi, kama vyombo chunguzi havifanyi kazi zake kwa weledi DPP ataendelewa kulaumiwa kila uchao.Sidhani kama umemuelewa alivyosema alienda kulalamika kwa Jaji mkuu.
Nadhani point pale ilikuwa yeye kama Waziri wa wakati huo (hasa kutumia mwanasheria wa Wizara, waliwakuta watuhumiwa na makosa 19). Na ndo hayo anayoyasema. Sasa baada ya kuona kile alichokuwa anakijua hakijafikishwa mahakamani, ilibidi alalamike kwa Jaji mkuu. Na kwa kuwa vyote ni vyombo vya serikali (DPP na Jaji Mkuu) nadhani Jaji atakuwa amewasiliana na ofisi ya DPP kuhusu hilo ndo DPP akaongeza makosa mengine mawili jumla yakawa makosa matatu.
Point inakuja, kama DPP mwanzo aliona kosa moja, imekuwaje baada ya Waziri kulalamika makosa yaliongezeka? (Kwa akili ya kawaida tu utaona kuna mchezo ulokuwa ukiendelea).
Nakuuliza nawewe umewahi kuwa na KESI kwenye hizi Mahakama zetu? Acheni blah blah za humu JFMwenye pesa hires best advocates kwa nini asishinde?
Ndo maana kawaunganisha wote kwa pamoja. Nadhani huo katoa mfano tu kwa namna watendaji wa vyombo hivyo hawako makini na wala hawatangulizi maslahi ya taifa mbele. Ukitetea ofisi ya DPP na jeshi la polisi nadhani wewe haupo nchini. Lakini Polisi ni janga. Mfano mdogo tu ni Kuhusu yule jamaa Kasusura baada ya kuiba zile pesa. Polisi badala ya kumkamata wao ndo wakamsindikiza mpaka Mbeya. Ofisi ya DPP na Jeshi la polisi kama wasingekuwa na Makandokando wasingelaumiwa kiasi hicho na wananchi. Mpaka Mh. Rais naye anawaambia kwa uwazi tu kuwa wanasemwa mno.Je hayo mashtaka yaloongezwa yalithibitika mahakamani? Tulie na wapelelezi wetu ndo janga, kesi ni ushahidi, kama vyombo chunguzi havifanyi kazi zake kwa weledi DPP ataendelewa kulaumiwa kila uchao.
Nakuuliza nawewe umewahi kuwa na KESI kwenye hizi Mahakama zetu? Acheni blah blah za humu JF
Kumbe ndo wale wale.....!!! Unaenda kwaajili yakutafuta helaWewe uliwahi kuwa na kesi ila mimi naenda pale kama kazi yangu karibia kila siku
Ndio mlichobaki nacho mkuu... Pole si kosa lakoHuyu nae kulialia!!!
Kumbe ndo wale wale.....!!! Unaenda kwaajili yakutafuta hela
Ndivyo Bwana Mkubwa anavyotaka, ili haki ionekane imetendeka lazima aridhikeKwa ninavyoona watoa haki itabidi kufanya kila linalowezekana kumridhisha " Bwana mkubwa" .