Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Ha ha ha! Majuha at their best. Akili zenu nahisi ziko kunako empty heads nyie.
 
Siku ya Nyani kufa, miti yote huteleza; CCM iko vibaya sana hata akili na mbinu hawana tena! Kweli CDM/UKAWA tunaongoza CCM inatawala!!! jamani mwendo ni kuiga kila kinachofanywa na CDM; Ok igeni hilo then UKAWA tutabadilisha mapigo mpaka tuwapoteze njia mazima!

Ushauri wa bure; kutumia M4C peke yake haitoshi; watumie na bendera za CDM, na mabango yao yote wayashushe yabaki ya Magufuli 4 Change na nyimbo za CDM ndio watafanikiwa zaidi!!

Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;

1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).

2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).

3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.

4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.


Sambaza kwa wengine ili CCM wajue tumewashtukia na tumejipanga kukabiliana nao. Watanzania wanachotaka ni Mabadiliko sio kuiba mbinu na Mikakati ya
#Mabadiliko2015
 
aibu niliyoiona hadi hizo herufi za M4C rangi zake wamecopy na kupaste
 
Tunachotaka maisha bila ccm yatakuweje.na mbona nyerere alifariki miaka mingi sasa na tunaishi.hilo ndiyo lengo letu tubadili sasa.hata slaa siyo tulikuwa tunampenda ila tunataka kubadili ccm.watawala wanazarau sana na chanzo cha umasikini wetu.
 
Yan sisi ccm tupo hoi kwa UKAWA, hilo tunalijua sana! Pia tunataka tumwambia Lupumba naye ajiunge na sisi tusogeze jahazi hili linaloenda mrama kila kukicha. Yan nyie UKAWA mtafikiri elimu yenu siyo ya hapa bongo!!! Mbona huku ccm wengi wamesoma nchi za nje lakini siyo wabunifu kama nyie! Mi nitahama wee ngoja tu
 
Magamba wanatilisha huruma sana, yaani wameishiwa mbinu kiasi hiki?
 
mke wa magufuli si ni mwalimu..nani kampa ruhusa kujihusisha na kampeni? majukumu yake afanye nani?
Huyu mama anajali wanafunzi wake na atakiwi kujihusisha na mambo ya siasa.
Alikuwepo kwa utambulishi tu..Hiyo kazi mwachieni mama regina ambaye hana kazi ya utumishi.
 
Hahahaah January makamba bwana sasa magufuli for change ndo nini??

Watu wanakaa kikao ikulu kwa ajili ya kuja kuwa fool watu aisee very funny
 
Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.
View attachment 287841

Kila siku Lowassa ni mtuhumiwa wa ufisadi tu. Yaani amekuwa mtuhumiwa wa kudumu? Nadiriki kusema wanaoendelea kumtuhumu milele pasipo kumchukulia hatua stahiki ni wajinga na wapumbavu (sorry, no offence!)
 
Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;

1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).

2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).

3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.

4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.
 
Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;

1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).

2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).

3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.

4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.

Sambaza kwa wengine ili CCM wajue tumewashtukia na tumejipanga kukabiliana nao. Watanzania wanachotaka ni Mabadiliko sio mbinu.!
 
Back
Top Bottom