Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Hahahahaha ndo wanapoelekea huko hahahahaha
Watakuwa wanajicheka hahahahaha
 
Kamaa kuamkaa kwa watanzaniaa ni kwa hiyoo dizine ya uamkoo wako

Basii watanzaniia tumelala tenaa tumepigwaa nusu kaputii kama sio kaputii kamili



ama kweli akili kila mtu na zake ni wepi waliodanganya? kati ya waliokuwepo zaidi ya miaka 50 ktika uwongozi wa taifa letu na kuahidi maisha bora kwa kila mtanzania na hawa wanaomba ridhaa ya wananchi kwa sasa

akili mbovu zina peleka mchomo huwezi juwa kipi ni kipi
 
Kama ugonjwa wa akili anapopata grandial delusion akijita yeye ni ndiye yesu
 
wakuu kuna taarifa kuwa baada ya ccm kuzidiwa kete na ukawa, mpaka kudesa kauli mbiu yetu ya m4c,lakini baada ya jana tena ukawa kuvuruga nyumbani kwa magufuli pale chato, hatimaye kamati kuu ya ccm imepitisha azimio moja kuwa wagombea wake wote kuanzia magufuli katika mikutano yao watatakiwa kuvaa mavazi ya chadema kuanzia fulana na kofia hili kuvuta hisia za watu. Kwa hiyo msijeshangaa mkamuona magufuli kavaa t.shirt ya chadema

serious???
 
Hata kama mnalipwa na vyama kuanzisha thread 20 kwa sku muone aibu mda mwingine ... Propaganda husomewa ila kwa dizaini hii mnajiaibisha kichwani....na hili ni kwa wote wenye mahaba na pande hizi mbili linawahusu
 
Hata kama mnalipwa na vyama kuanzisha thread 20 kwa sku muone aibu mda mwingine ... Propaganda husomewa ila kwa dizaini hii mnajiaibisha kichwani....na hili ni kwa wote wenye mahaba na pande hizi mbili linawahusu
Ubongo wao umejaa funza
 
wakuu kuna taarifa kuwa baada ya CCM kuzidiwa kete na UKAWA, mpaka kudesa kauli mbiu yetu ya M4C,lakini baada ya jana tena UKAWA kuvuruga nyumbani kwa magufuli pale chato, hatimaye kamati kuu ya CCM imepitisha azimio moja kuwa wagombea wake wote kuanzia magufuli katika mikutano yao watatakiwa kuvaa mavazi ya CHADEMA kuanzia fulana na kofia hili kuvuta hisia za watu. kwa hiyo msijeshangaa mkamuona magufuli kavaa T.SHIRT ya CHADEMA

Jf sasa hivi imepoteza hadhi. Huyu na yeye ni GT kweli!? Ukawa unaokoteza hata makokoro mabovu yawe yanaropoka bila hata kujitambua imradi mtu kwa siku awe kaingiza siku kwa kumchafua Magufuli. Hilo lilishawekwa humu siku nyingi, sema wachafuaji wenyewe wamechafuka.
 
Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.


attachment.php

​

Which change? In just inserting a name in a slogan? Oh poor CCM. If JPM wants real change, he is welcome. He and his followers are not late. Cross over to UKAWA. You are not late.
 
Back
Top Bottom