hahahahahahaha ... strategist wao eti ni January Makamba ...

wameishiwa kila kitu
Akili za chalinze na bumbuli kazini
Mtaji wa CCM siku zote umekuwa ujinga wa Watanzania mpaka wakajisahau kuwa 'ujinga sio kovu', sasa watu wameelevuka wanataka mabadiliko lakini viongozi wa ccm bado wako kwenye usingizi wa pono kwa kudhani kuwa wataweza kutumia uongo wa kijinga kiasi hiki!
Hivi kweli Dr. Magufuli alivyoamua kugombea urais hakuwa na watu wa kumsaidia kimikakati mpaka anaangukia kwenye mikono ya watu wanaompangia mbinu dhaifu kama hizi!!!!!????
Binafsi nilishajua ccm wameishiwa lakini kama chama kinachoongozwa na binadamu sikujua kama wameishiwa kiasi hiki! Naanza kuamini kuwa zile simulizi za wizi wa mitihani zilikuwa za kweli sasa!
Hahahaha ukiongolea M4C Tanzania nxima inajua ni slogan ya CHADEMA sasa hawa ccm siwaelewi kbs.
hahahahahahaha ... strategist wao eti ni January Makamba ...
Aibu!!!!!!!!!
Anautafuta uu PM dogo Januaryhahahahahahaha ... strategist wao eti ni January Makamba ...
Akili za chalinze na bumbuli kazini
Mtaji wa CCM siku zote umekuwa ujinga wa Watanzania mpaka wakajisahau kuwa 'ujinga sio kovu', sasa watu wameelevuka wanataka mabadiliko lakini viongozi wa ccm bado wako kwenye usingizi wa pono kwa kudhani kuwa wataweza kutumia uongo wa kijinga kiasi hiki!
Hivi kweli Dr. Magufuli alivyoamua kugombea urais hakuwa na watu wa kumsaidia kimikakati mpaka anaangukia kwenye mikono ya watu wanaompangia mbinu dhaifu kama hizi!!!!!????
Binafsi nilishajua ccm wameishiwa lakini kama chama kinachoongozwa na binadamu sikujua kama wameishiwa kiasi hiki! Naanza kuamini kuwa zile simulizi za wizi wa mitihani zilikuwa za kweli sasa!
kamati mbovuu ndiyo matatizo yaoHahahaha ukiongolea M4C Tanzania nxima inajua ni slogan ya CHADEMA sasa hawa ccm siwaelewi kbs.
Wameamua kuchukua kauli Mbiu ya CHADEMA M4C na kuiita Magufuli For Change. Jamaa wamekosa muelekeo wameiga sera mpaka mienendo ya Kampeni.