Hizo taarifa mpelekee mkeo
Magufuli kila kukicha anazidi kuwachanganya
Which change? In just inserting a name in a slogan? Oh poor CCM. If JPM wants real change, he is welcome. He and his followers are not late. Cross over to UKAWA. You are not late.
Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.
![]()
Hati miliki mnasemaje kuhusu hili??
![]()
![]()
UKAWA/Chadema nao wamekopi hiyo slogan. Sio wao waliobuni. Kwa hiyo wasijifanye eti wana hati miliki ya M4C. Maccm hapa yamewazidini kete. Hayo majamaa yamekubuhu kwa propaganda tangu enzi za mchonga, kwa hiyo kaeni chonjo mnapokabiliana nayo.CCM wamekosa kabisa creativity kwenye kampeni za 2015...wanacopy slogans za UKAWA zote ha ha haaa!
Na baadae atajiita John Pombe Lowassa.
Hizo taarifa mpelekee mkeo