SILVANUS MUMBA
Senior Member
- Aug 22, 2015
- 149
- 55
Ukiona mtu amegombanaa na mwenzakeee, kisha akaacha na kuanza kumuiga maneno, mfano akimuita mjinga na yeye anasema mjinga mwenyeweee, ujuwe kaishiwa
siasa za mwaka huu ni sawasawa na kumbebesha magufuli mzigo wa meli kubwa sana halafu wanaccm wako ndani wanakula shampaign huku wakidhani watavuka ng'ambo.
Na ndio maana anababaika masikini mzee wa watu, kazeeka ndani ya muda mfupi sana, maka anashindwa kujua sadam husein alikuwa raisi wa wapi do.