Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,366
- 10,393
Mimi naona kama sio wa sportsπ€£π€£Kwani sio uzi wa sports ππ
Mie niliweka the lounge moderator kaona unafaa hukuπββοΈπββοΈπββοΈ
Umekunywa nini kijana usiongeze tenaMimi naona kama sio wa sportsπ€£π€£
Napenda ila hii sio game nzuri haivutii
Naskia mtu Kala 6 na bado mtanange uko live
Inapendeza... Kila la kheri...Napenda ila hii sio game nzuri haivutii
Spain 4 - Saudia 0Naskia mtu Kala 6 na bado mtanange uko live
Hao wamekutana na mfumo mbaya wa Spain... Si ndo hawa waliifunga Argentina 2022?Spain 4 - Saudia 0
π€£π€£π€£ heheheheeeee (manara voice)Kipindi cha nne wanasubiria
Kwakweli πΆββοΈHaya maji yamemwagika tusubirie next time!
Pole dihaKwakweli πΆββοΈ
Sitaki pole yako ya unafiki πPole diha
Mzigo gani tena? πΉIla tukiongea ule uhalisia hamna kitu raha duniani kama kula mzigo bn!
Inatoka ku moyo mahiπ₯°Sitaki pole yako ya unafiki π
Sikuamini πInatoka ku moyo mahiπ₯°
Shenziii mzigo wa naniiiπ€£π€£Mzigo gani tena? πΉ
Em waungwana tuwe tunaelekezana isije kuwa huu mzigo wa vijora unaliwa afu mi sijui..!! πΉπΉπΉ
Kama hutaki baasi π€£Sikuamini π
πΉπΉπΉ Uzi wako unachekesha, hapo umewafurahisha vijana wa sheikh Ponda wapenda MIZIGOShenziii mzigo wa naniiiπ€£π€£
Uzi unaongelea magoli 3 Azam & Yanga 2π ππΉπΉπΉ Uzi wako unachekesha, hapo umewafurahisha vijana wa sheikh Ponda wapenda MIZIGO