Mafukara milioni 30, Mabilionea 30

Mafukara milioni 30, Mabilionea 30

Jack chapombe ndio kawaida yenu ninyi mkishikwa mnaanza kumtuhumu zitto,kama zitto ana kundi lake na ninyi member wa ngaramtoni,sanya juu,kibororoni,same ni kundi la nani mbona hamjitaji?kizuri chajiuza,mnapozungumzia kumnyima zitto fursa ndani ya cdm msisahau jamani mabadiliko ya katiba mpya,hasa kakipengere la umri na mgombea binafsi.zitto ndie rais ajae mtake msitake.kale kababu kenu kajiandae kukimbiwa na mshumbusi.sasa sijui kataenda wapi maana kamehonga nyumba,tena kasisahau komu(pro mbowe)anakadai ml 140 heka za ruzuku alizochukua chadema saccos kama zake.
Mhhhh mbona maneno makali sana haya?Tafadhali waonee huruma hawa vijana wa mbowe na Slaa wanapata shida sana mnapo wabomoa bomoa kama nyumba za kota za magomeni
 
hii tabia ya baadhi ya vijana kuja huku kutukana na kuchafua baadhi ya viongozi ni usaliti usiokubalika.serikali ya ccm inachafua viongozi na chama chetu kwa kutumia vibaya hata dola.leo tuna vijana ndani ya chama kazi yao ni kutukana na kuhujumu chama kwa gharama yoyote ile kuizidi hata ccm.vijana wa aina hii ni wa kazi gani ndani ya chama?

chama hiki watu wamepoteza maisha,watu wamefilisika kwa ajili ya kukiamini na kuona njia ya mabadiliko kupitia chadema.ni aibu kuona hata naibu katibu mkuu yupo mstari wa mbele katika kuunda kundi la aina hii.
vijana wenye akili timamu hatutawaruhusu watu wa aina hii.wasaliti wa aina hii ni bora waondoke wenyewe.hakuna nafasi ya kulea upuuzi kama huu
Naona unaumia sana Zitto kukubalika na vijana,Kukubarika na wasema kweli,kukubarika na watanzania.unatafuta kila aina ya neno ujitutumue lakini unakandamizwa.Pole sana,bila shaka ukipita pale Ada utapewa vya soda
 
Jack chapombe ndio kawaida yenu ninyi mkishikwa mnaanza kumtuhumu zitto,kama zitto ana kundi lake na ninyi member wa ngaramtoni,sanya juu,kibororoni,same ni kundi la nani mbona hamjitaji?kizuri chajiuza,mnapozungumzia kumnyima zitto fursa ndani ya cdm msisahau jamani mabadiliko ya katiba mpya,hasa kakipengere la umri na mgombea binafsi.zitto ndie rais ajae mtake msitake.kale kababu kenu kajiandae kukimbiwa na mshumbusi.sasa sijui kataenda wapi maana kamehonga nyumba,tena kasisahau komu(pro mbowe)anakadai ml 140 heka za ruzuku alizochukua chadema saccos kama zake.

hakuna mtu anayemnyima zitto fursa chadema.anajinyima yeye mwenyewe.Yeye ni naibu katibu mkuu,jiulize kwa nini haonekani ofisini?Jiulize ni kwanini hashirikiani na wenzake kwenye M4C? Kazi yake kubwa ni kuhujumu chadema.Hakuna kijana mwenye akili timamau ambaye hakerwi na hali hii.Kazi yake kubwa ni kukichafua chama yeye na kundi lake halafu anategemea kugombea urais kupitia chadema kweli?
Vijana chadema tutamsimama kumzuia kiongozi au mwanachama yeyote atakayefifisha harakati zetu nyuma kwa staili hii anayotumia zitto na wenzake.Kamwe hatuwezi kuwa sehemu ya usaliti huu kwa kumruhusu kutuvuruga.Never !
 
Nilimwambia mtu anyejiita Gemmy hivi

akajibuh

mimi nikamjibu

pianikamwambia Haze(mchange) na Gongo2(mwampamba)

akaja member mmoja mwenye busara na kuona mbali akaandika hivi

Nikamjibu

nikaendelea kusizitiza

wao wakaja kufunga mjadala na kuturidhisha.JF mmeshajua aina ya vijana ambao Mbowe na Slaa wanawalea tu huku wakisababisha madhara haya makubwa kwa chama kwa kushirikiana na vibaraka wengine na CCM.Hitimisho lao hapa chini ndilo wanalotumia kuja kutukana watu JF
utapata tabu sana kuhangaika kuwavisha wenzako majina! ...mara Mchange Mwampamba ....ila nasikia siku hizi mchange nae anaitwa URASSA hebu nisaidie kunijuza kama kweli! ....
 
Ni kweli. Lazima tuanzie hapa. Kwamba mtu anayetaka kuwa mtumishi wa umma lakini anafanya biashara aache biashara. Aweke kwenye 'blind trust' biashara zake katika kipindi chote cha utumishi wa uuma. Mataifa makubwa tena ya kibepari duniani yanafanya hivi. Sisi Taifa lililotoka kwenye ujamaa tunashindwa kuchukua hatua hii. Mara 3 nimepeleka muswada Bungeni kutaka kutungwa kwa sheria ambayo itadhibiti mgongano wa maslahi kati ya wafanyabiashara ambao ni wanasiasa na mra zote imekataliwa hata kuchapishwa kwenye gazeti la serikali (GN).

Nakubaliana na wewe kabisa kwamba hapa ndio mahala pa kuanzia. Kisha uwazi wa mali za viongozi. Hivi sasa tunatangaza mali lakini wananchi hawana access. Matokeo yake ni wananchi kuwa na mawazo tofauti kuhusu viongozi wao. Daftari la mali na madeni ya viongozi liwe wazi. Mfano kwa wabunge liwekwe pale ofisi za Bunge Dar na Dodoma. Daftari liwe wazi kwenye website ya Bunge. Ili kama kiongozi amedanganya iwe rahisi kwa wananchi kumsema na kuona kuona kama anamiliki mali zaidi ya kipato chake.

Uwazi ni msingi mkubwa sana wa kupambana na ufisadi. Uwazi utaondoa majungu na kuzushiana. Uwazi utawapa nguvu wananchi juu ya viongozi wao.
Ndugu Zitto kwakweli hoja zako nyingi ni zina make sense kwa wananchi wa kawaida,lakini huwa nashangazwa,kwanini watu wanaokichukia chama chako wanakusapoti wewe peke yako?Je unadhani kwanini hiyo hali ipo?
 
pEOPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS,SULUHISHO ONDOA SERIKALI MYA CCM WEKA SERIKALI YA CHAMA KINGINE 2015. KAMATA WALIOFILISI NCHI SHITAKI WAKITIWA HATIANI TAIFISHA MALI. WALIOUA WATU PELEKA THE HAGUE,WEKA SAWA KATIBA PUNGUZA MADARAKA YA RAISI,ONDOA WAKUU WA WULAYA TEULIWA WEKA KAMA KUNA ULAZIMA WA KUAJILIWA.
 
hakuna mtu anayemnyima zitto fursa chadema.anajinyima yeye mwenyewe.Yeye ni naibu katibu mkuu,jiulize kwa nini haonekani ofisini?Jiulize ni kwanini hashirikiani na wenzake kwenye M4C? Kazi yake kubwa ni kuhujumu chadema.Hakuna kijana mwenye akili timamau ambaye hakerwi na hali hii.Kazi yake kubwa ni kukichafua chama yeye na kundi lake halafu anategemea kugombea urais kupitia chadema kweli?
Vijana chadema tutamsimama kumzuia kiongozi au mwanachama yeyote atakayefifisha harakati zetu nyuma kwa staili hii anayotumia zitto na wenzake.Kamwe hatuwezi kuwa sehemu ya usaliti huu kwa kumruhusu kutuvuruga.Never !
zitto siyo mnafiki ndio maana haendi kwenye ziara zinazoongozwa na waanafiki! ...
 
Hivi ni kweli kuwa mchange ni URASA Na Mwampamba ni LYIMO? ....ndo taarifa zilizosambaa mtaani hizo
 
mwakani?hamuwezi kutegemea kuichafua chadema na kujifanya mna uchungu na chama.kama huna viererezo kwa haya kaeni kimya
kielelezo cha kwanza nenda kamuulize Dr.slaa kwanini amekimbia jukwaa hili,anaogopa kujibu tuhuma za ufisadi wake
 
Kamundu,

Excellent !

Kwa Bahati mbaya tumezoea kujadili matukio bila kufikiri matukio hayo chanzo chake ni mfumo.Mfumo unakuwa based on national values kitu ambacho Taifa letu sasa hivi halina

Mfumo nao hutoa dira.Itikadi zote za vyama vya siasa huzaa sera ambayo itakuwa juu ya mfumo ambao ni tunda la national values zilizopo

Kwa bahati mbaya tumejenga taifa ambalo hata vijana wasomi ambao taifa linazalisha wanakuwa ni watu wa kujadili matukio na mambo madogo madogo tu.Hatufiki popote kwa staili hii

China,Rwanda na hata Russia ilipojijenga kwa muda wa mika 70 tu kuwa superpower ilipitia huko.Hakuna shortcut ingawa tunaweza kutumia fursa tulizo nazo za ziada (added Advantage) kufikia huko

Ukiangalia ilani za vyama vya siasa tulivyo navyo katika general Election iliyopita unaweza ukaona ni jinsi gani hatujaweza kuwa taayari katika hili kama Taifa.Nitarudi tujadili mada hii kwa mapana

wealthy Creation inawezekana kupitia marekebisho ya mfumo.Vicious circle of poverty inaweza kuwa historia kama tutadhamiria Radical Reforms !

Hapo kwenye RED nakushauri Mkuu Ben uepuke ujenzi wa hoja zenye fallacy namna hii ndani yake. Inawezekanaje vijana wote kwa usare wao wakawa na mtizamo unaouhubiri hapo? Halafu namna hii ya ujenzi wa hoja ni kwa watu wenye kujiona wako juu ya wote. They are above all. Tuna mifano ya vijana wengi hapa nchini ambao wamekuwa very ambitious na wamekuwa na fikra pana za kuleta mabadiliko iwe ni nchini au kwenye miradi yao wanayoimiliki au vinginevyo. Hili halihitaji kuleta ushahidi wewe mwenyewe kichwani utakuwa na orodha yako.

Hapo kwenye BLUE, usichanganye ilani na mambo ya sera. Hivi ni vitu viwili tofauti. Kwenye ilani unaandaa andiko ambalo utaliuza kwa wananchi ili wakuchague. Humo ndani unatoa ahadi na kuzifafanua vema kwa wananchi. Kwenye Sera sasa ndipo unaweza kuweka mipango ya maendeleo iwe ya miaka mitano, miaka 50 au hata 100. Huwezi ukazijaza ilani za vyama vitu vyote hivi kwa mpigo.Ilani ikishapita ndipo mipango mikakati na sera mbalimbali huwekwa ikiwa ni sambamba na kubadili sheria zilizopo ili ziliflect sera na utekelezaji wa ilani kwa ujumla.

Sasa kuanza kuvihukumu vyama kwamba ilani zake za mwaka 2010 hazikubeba mambo hayo unayoyataka si kuvitendea haki. Unaweza ukaitupia lawama CCM kwa kuwa iko madarakani kwa maana ya Ilani yake ndiyo inatekelezwa (Sera, Sheria na Mipango ya Serikali ya CCM ina reflect Ilani hiyo ya CCM) na si kwa CDM. Unless kama nao wako madarakani kutekeleza ilani yao.
 
Nilimwambia mtu anyejiita Gemmy hivi

akajibu

mimi nikamjibu

pianikamwambia Haze(mchange) na Gongo2(mwampamba)

akaja member mmoja mwenye busara na kuona mbali akaandika hivi

Nikamjibu

nikaendelea kusizitiza

wao wakaja kufunga mjadala na kuturidhisha.JF mmeshajua aina ya vijana ambao Mbowe na Slaa wanawalea tu huku wakisababisha madhara haya makubwa kwa chama kwa kushirikiana na vibaraka wengine na CCM.Hitimisho lao hapa chini ndilo wanalotumia kuja kutukana watu JF

I can see now your searching sympathy from the members,unapima kina cha maji ya bahari kwakutumia kijiti?are you serious?unaleta ushabiki kwenye hoja za msingi,zenye maslahi kwa taifa letu?halafu unataka tukuache salama?haiwezekani.hakuna mtu anaemzidi zitto uwezo wa kiuongozi na kujenga hoja .
Huo ndio ukweli wenyewe na ukweli una sifa moja kuu nayo ni KUUMA.cloroquine chungu lakini inaponyesha.
 
Ndugu Zitto kwakweli hoja zako nyingi ni zina make sense kwa wananchi wa kawaida,lakini huwa nashangazwa,kwanini watu wanaokichukia chama chako wanakusapoti wewe peke yako?Je unadhani kwanini hiyo hali ipo?

Kwanza futa kwamba watu wanakichukia chadema.
Pili tambua watu wanachukia tabia za Dr.slaa na Mbowe
Watu wengi wanachukia uchagga na unafiki wa Dr.slaa,hawakubaliani na namna chama kinavyoendeshwa kikanda.
 
Jack chapombe ndio kawaida yenu ninyi mkishikwa mnaanza kumtuhumu zitto,kama zitto ana kundi lake na ninyi member wa ngaramtoni,sanya juu,kibororoni,same ni kundi la nani mbona hamjitaji?kizuri chajiuza,mnapozungumzia kumnyima zitto fursa ndani ya cdm msisahau jamani mabadiliko ya katiba mpya,hasa kakipengere la umri na mgombea binafsi.zitto ndie rais ajae mtake msitake.kale kababu kenu kajiandae kukimbiwa na mshumbusi.sasa sijui kataenda wapi maana kamehonga nyumba,tena kasisahau komu(pro mbowe)anakadai ml 140 heka za ruzuku alizochukua chadema saccos kama zake.

Kupitia CCM?Tusipotaka si awi?Mmejuaje katiba itapunguza miaka?Au ndivyo CCM walivyowadanganya?Kwani katiba ya CDM nayo itabadilika?
 
zitto hana hizo qualities...ni mtu ambaye yupo tayari kukanyaga juu ya wenzake ayafikie malengo anayohitaji.huu unafiki wake ni mbaya sana.autafika popote ndani ya chadema
kama mbowe alivyomfanya chacha wangwe,akayafikia malengo ya uenyekiti wa chama
 
Zitto ni sehemu ya hilo kundi.ni kinara wa kundi hilo.Ameanzisha thread na kundi lake lote liko vitani kuwachafua dr.slaa na freeman mbowe.lengo ni wachafuke ili yeye aonekane anafaa kuwa mwenyekiti wa chama mwakani na mgombea urais 2015.haelewi kwamba huwezi kuwa maarufu kwa kuwatukana wengine

Pia ajue baada ya kupata umaarufu ,pia atahitaji kuanza safari mpya ya ktafutwa heshima.Umaarufu si heshima.by the way sasa hivi anacheza kati ya kuwa (famous and infamous).
 
Acheni umbeya mnamsaidia shetani kazi yake....Mna defile juhudi nzuri kabisa la kumwondoa shetani na malaika wake (ufisadi) katika nchi yetu.....Jengeni hoja zenye akili na mnyooshee watu vidole kwa matendo yaliyo dhahiri siyo hizo zenu za kiswahili swahili..Too cheap for great thinkers!
 
Kwanza futa kwamba watu wanakichukia chadema.
Pili tambua watu wanachukia tabia za Dr.slaa na Mbowe
Watu wengi wanachukia uchagga na unafiki wa Dr.slaa,hawakubaliani na namna chama kinavyoendeshwa kikanda.
Acha za kuletwa wewe Slaa si mchanga.tatizo mnahadithiana ujinga katika gahawa.
 
hii tabia ya baadhi ya vijana kuja huku kutukana na kuchafua baadhi ya viongozi ni usaliti usiokubalika.serikali ya ccm inachafua viongozi na chama chetu kwa kutumia vibaya hata dola.leo tuna vijana ndani ya chama kazi yao ni kutukana na kuhujumu chama kwa gharama yoyote ile kuizidi hata ccm.vijana wa aina hii ni wa kazi gani ndani ya chama?

chama hiki watu wamepoteza maisha,watu wamefilisika kwa ajili ya kukiamini na kuona njia ya mabadiliko kupitia chadema.ni aibu kuona hata naibu katibu mkuu yupo mstari wa mbele katika kuunda kundi la aina hii.
vijana wenye akili timamu hatutawaruhusu watu wa aina hii.wasaliti wa aina hii ni bora waondoke wenyewe.hakuna nafasi ya kulea upuuzi kama huu

Mbowe nae anakundi lake la akina Lema,Kilewo,Deo mushi,deo munishi,Gidion,john mrema na wachaga wengine kazi yao ni kumchafua zitto.
 
Acha za kuletwa wewe Slaa si mchanga.tatizo mnahadithiana ujinga katika gahawa.

Pole sana bwana mdogo labda haujui.
slaa hawezi kuukana uchagga, baba yake wa kusingiziwa mzee peter (maana mzee pater sio baba ake mzazi, baba ake mzazi alikuwa ni kasisi wa kanisa) ni muiraq na mama yake mzazi ni mchagga wa machame! ...mwambie aje kubisha kaa tunamsingizia
 
Acha za kuletwa wewe Slaa si mchanga.tatizo mnahadithiana ujinga katika gahawa.

slaa ni msukule wa mbowe mzee hajitambui mbowe amefanikiwa kumzima slaa mdomo kwa kumlipa mshahara wa mil 7 kila mwezi.
 
Back
Top Bottom