idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
Nawalaani wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine kuharibu huu mjadala, page ya 1,2,3 tulikutana na vichwa halisi vya jf kwenye mambo ya siasa....baadae mijitu inakuja na viroja b
adala ya hoja....Mleta hoja kakiri kwamba pamoja na mapungufu yake lakini bado anamazuri yake pia...hivyo akashauri kama mnania ya kumjadili yeye binafsi anzisheni uzi mwingine mahususi kwa kumjadili yeye hivyo kwa sasa mjadili mstakabali wa taifa kwa leo na vizazi vijavyo....bila kusafisha mchanga huwezi kupata dhahabu,pamoja na madudu ya zzito kama yapo,bado mazuri hayawezi kukosekana. Tuheshim mjadala..