TUNTEMEKE
Platinum Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 580
Pia ajue baada ya kupata umaarufu ,pia atahitaji kuanza safari mpya ya ktafutwa heshima.Umaarufu si heshima.by the way sasa hivi anacheza kati ya kuwa (famous and infamous).
Heshima ni kuoa mke wa mtu na kuendesha chama kwa majungu na fitna.