Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
zitto hana hizo qualities...ni mtu ambaye yupo tayari kukanyaga juu ya wenzake ayafikie malengo anayohitaji.huu unafiki wake ni mbaya sana.autafika popote ndani ya chademaNadhani kwenye qualities za A Good Leader akili is not one of them.., kwahio tutakapotafuta kiongozi anayetufaa ni bora tuangalie yafuatayo:- (haka kama kiongozi atakuwa average in terms of brains, atapata washauri)
Integrity; Dedication; Humility; Openness; Creativity; Fairness; Assertiveness; Charisma
hapo kwenye Humility; inabidi mtu ambae hajioni kwamba yeye anafaa kuliko wengine au yupo juu ya wengine hawashushi wenzake bali anawapandisha...
Ni hayo tu...