Mkaguzi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2007
- 250
- 27
hivi Mbona Zitto yupo kimya hakemia hawa watu wanaotukana na kudhalilisha chama na viongozi wake wa juu hapa? Nilitegemea Yy kama Katibu msaidizi atoe kauli hapa. Ama anataka tuamini na yy anahusika kwa haya matusi na kejeli kwa viongozi wa chama chake? Zitto upo kweli? ua letting me down Brother. Pls Say something on that.