Mafanikio yangu 2023 baada ya kuwa bachelor

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,776
24,211
Mwanzoni mwa mwaka 2023 niliunga juhudi (mkono) kampeni ya KATAA NDOA ndoa ni utapeli iliyoanzishwa na kijana mmoja hivi

Haya ndio mafanikio yangu Baada ya kuunga juhudi:
1. Nimeweza kutunza pesa kwenyu kibubu Hadi imefika 5 million jambo ambalo hapo kabla ilishindikana coz nilipigwa vizinga hatari

2. Kilo za mwili zimeongeza since mwili unapata diet ya kutosha + resting ya kutosha kuliko mwanzo. Kulikuwa na makelele heavyweight ....+ Zile km 7 za kwenda orgasm nimeacha

3. IQ yangu imeongezeka kutokana na kutofikiria mapenzi tena, now naona imefikia hatua nmeanza kuwakosoa wanasayansi. Kina newton, Elon musk, Leonard da Vinci na kina Tesla.,.... ndugu zangu tegemeeni invention nzito Toka kwangu

NB: Japo mafanikio ni mengi Baada ya kuwa bachelor, changamoto napitia kama vile ugwadu heavyweight, pia nasumbuliwa sana na warembo sababu ni handsome.

Je mwaka huu umepata mafanikio au changamoto gani ya kuwa single?
 
Je mwaka huu umepata mafanikio au changamoto Gani ya kuwa single?
mafanikio ni mengi

1. nimetunza kibunda, msimbazi mmoja uko mezani hapa mwezi mzima hakuna &&^$##% wa kuichukua
2. magonjwa nayasoma JamiiAfya kule, wale wa Gono, nawacheka tu chini chini
3. nikishatia nyeto, kila chupi huko nje naiona kama dada angu vile

KATAA NDOA

OKOA KIBUNDA
 
Mwanzoni mwa mwaka 2023 niliunga juhudi (mkono) kampeni ya KATAA NDOA ndoa ni utapeli iliyoanzishwa na kijana mmoja hivi

Haya ndio mafanikio yangu Baada ya kuunga juhudi:
1. Nimeweza kutunza pesa kwenyu kibubu Hadi imefika 5 million jambo ambalo hapo kabla ilishindikana coz nilipigwa vizinga hatari

2. Kilo za mwili zimeongeza since mwili unapata diet ya kutosha + resting ya kutosha kuliko mwanzo. Kulikuwa na makelele heavyweight ....+ Zile km 7 za kwenda orgasm nimeacha

3. IQ yangu imeongezeka kutokana na kutofikiria mapenzi tena, now naona imefikia hatua nmeanza kuwakosoa wanasayansi. Kina newton, Elon musk, Leonard da Vinci na kina Tesla.,.... ndugu zangu tegemeeni invention nzito Toka kwangu

NB: Japo mafanikio ni mengi Baada ya kuwa bachelor, changamoto napitia kama vile ugwadu heavyweight, pia nasumbuliwa sana na warembo sababu ni handsome.

Je mwaka huu umepata mafanikio au changamoto gani ya kuwa single?
Aaaaaah chief we kuweza
 
Back
Top Bottom