Kataa ndoa ni either lishoga ama fukara la kutuma wewe yupi hapo?Mwanzoni mwa mwaka 2023 niliunga juhudi (mkono) kampeni ya KATAA NDOA ndoa ni utapeli iliyoanzishwa na kijana mmoja hivi
Haya ndio mafanikio yangu Baada ya kuunga juhudi:
1. Nimeweza kutunza pesa kwenyu kibubu Hadi imefika 5 million jambo ambalo hapo kabla ilishindikana coz nilipigwa vizinga hatari
2. Kilo za mwili zimeongeza since mwili unapata diet ya kutosha + resting ya kutosha kuliko mwanzo. Kulikuwa na makelele heavyweight [emoji23]....+ Zile km 7 za kwenda orgasm nimeacha
3. IQ yangu imeongezeka kutokana na kutofikiria mapenzi tena, now naona imefikia hatua nmeanza kuwakosoa wanasayansi. Kina newton, Elon musk, Leonard da Vinci na kina Tesla.,.... ndugu zangu tegemeeni invention nzito Toka kwangu
NB: Japo mafanikio ni mengi Baada ya kuwa bachelor, changamoto napitia kama vile ugwadu heavyweight, pia nasumbuliwa sana na warembo sababu ni handsome.
Je mwaka huu umepata mafanikio au changamoto gani ya kuwa single?
Tafuta watu wenye elimu ya kiroho kabla ya kuoana wanafanya analysis wanaangalia roho zenu kama zitaendana.Migogoro,vurugu naHiyo elimu tunaipataje
wanaokataa ndo ni matapeli jiepushe naoMwanzoni mwa mwaka 2023 niliunga juhudi (mkono) kampeni ya KATAA NDOA ndoa ni utapeli iliyoanzishwa na kijana mmoja hivi
Haya ndio mafanikio yangu Baada ya kuunga juhudi:
1. Nimeweza kutunza pesa kwenyu kibubu Hadi imefika 5 million jambo ambalo hapo kabla ilishindikana coz nilipigwa vizinga hatari
2. Kilo za mwili zimeongeza since mwili unapata diet ya kutosha + resting ya kutosha kuliko mwanzo. Kulikuwa na makelele heavyweight [emoji23]....+ Zile km 7 za kwenda orgasm nimeacha
3. IQ yangu imeongezeka kutokana na kutofikiria mapenzi tena, now naona imefikia hatua nmeanza kuwakosoa wanasayansi. Kina newton, Elon musk, Leonard da Vinci na kina Tesla.,.... ndugu zangu tegemeeni invention nzito Toka kwangu
NB: Japo mafanikio ni mengi Baada ya kuwa bachelor, changamoto napitia kama vile ugwadu heavyweight, pia nasumbuliwa sana na warembo sababu ni handsome.
Je mwaka huu umepata mafanikio au changamoto gani ya kuwa single?
Hiyo ni kazi nzitoTafuta watu wenye elimu ya kiroho kabla ya kuoana wanafanya analysis wanaangalia roho zenu kama zitaendana.Migogoro,vurugu na
Kutengana nk ni matokeo ya mizimu yenu kutoendana sababu mliungana kwa akili zenu kupitia tamaa ya uzinzi kabla ya ndoa.
Ndoa sio jambo la kukurupukia ni Bora uwe single forever.Hiyo ni kazi nzito
Ukicheza na ishu za kiroho mbona unampata wa kufanana nae mtazeeka wote mtafanana Hadi sura.Duuuh kumbe .....
hahahNB: Japo mafanikio ni mengi Baada ya kuwa bachelor, changamoto napitia kama vile ugwadu heavyweight, pia nasumbuliwa sana na warembo sababu ni handsome.
Je mwaka huu umepata mafanikio au changamoto gani ya kuwa single?
Au tuanzishe bank yetuNikiwa kama naibu mwenye kiti wa Team KATAA NDOA
kiukweli tunafurah kuona NGO,s yetu inakua kwa kasi kubwa sana na kila siku wanachama wapya wanaingia na kujisajili nakisha kupewa kadi ya uanachama bado tunaendelea kupiga vita NDOA kwa vijana kwani ni ubatili kwa vijana wa kiume wote Asantee sana
:KIJANA KATAA NDOA
OKOA KIBUNDA
Au tuanzishe bank yetu
sasa bado liverpool vpn sijamuona hapa hahaamafanikio ni mengi
1. nimetunza kibunda, msimbazi mmoja uko mezani hapa mwezi mzima hakuna &&^$##% wa kuichukua
2. magonjwa nayasoma JamiiAfya kule, wale wa Gono, nawacheka tu chini chini
3. nikishatia nyeto, kila chupi huko nje naiona kama dada angu vile
KATAA NDOA
OKOA KIBUNDA