Mafanikio yangu 2023 baada ya kuwa bachelor

3. IQ yangu imeongezeka kutokana na kutofikiria mapenzi tena, now naona imefikia hatua nmeanza kuwakosoa wanasayansi. Kina newton, Elon musk, Leonard da Vinci na kina Tesla.,.... ndugu zangu tegemeeni invention nzito Toka kwangu

Taratibu kijana baba zako tuko hapa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Soon tu ntaanza kutoa matheory yangu ya kibabe
 
IQ yangu imeongezeka kutokana na kutofikiria mapenzi tena, now naona imefikia hatua nmeanza kuwakosoa wanasayansi. Kina newton, Elon musk, Leonard da Vinci na kina Tesla.,.... ndugu zangu tegemeeni invention nzito Toka kwangu
hizi ni dalili za kuwa na nyege..........
btw, wewe ni chama letu,kataa ndoa.huwezi kutenganisha hili chama na nyeto
 
NDOA NI WIZI HASARA KWA MWANAUME

mafanikio yangu ya kua single

1: nimefanikiwa kutunza kibunda, wanaume walioa wanaolia maisha magumu na wacheka kimnya kimnya

2: nimefanikiwa kufanya mambo mapya ya msingi sana pamoja na uwekezaji mkubwa mno

3: Nikiweka jero mezani inakaa hata miezi mitatu bila kuibiwa

4: Soksi zangu ziko pair pair navitu vyangu vimejipangilia nikitaka soksi napata pair mfanano bila kupekua nyumba

5: hiz chupi huko nje naziona taka taka na nimechanua nyingi bure kabisa nikimaliza na fukuza.

6: Nimefanikiwa kumjengea mama yangu nyumba, kumpendezesha na kumnunulia ndinga la kwendea sokoni

7: Nimefanikiwa kupata marafiki wengi wenyefikra chanya, wapambanaji na wenye uchumi imara.

8: Furaha na amani ya moyo wangu ni kubwa sana pia afya yangu imeimarika sana maana hakuna mtu wa kunipigia makelele wala kunipaastress ya kunyimwa tamuu na vimizinga mizinga

NDOA NI WIZI, NDOA NI ANASA KIJANA USIOE
 
Kila kitu kinafaida na hasara.
Ndio fungu ulilochagua kikubwa usiharibu kwa wengine na uwe tayari kukubaliana na consequences za kuamua kuishi kivyako vyako.
Ila inatisha sana kuwaza kuwa hautakuwa na familia milele, yamkini utakufa mwenyewe chumbani kwako watu waje kugundua baada ya mwili kuanza kuoza.
 
IQ yangu imeongezeka kutokana na kutofikiria mapenzi tena, now naona imefikia hatua nmeanza kuwakosoa wanasayansi. Kina newton, Elon musk, Leonard da Vinci na kina Tesla.,.... ndugu zangu tegemeeni invention nzito Toka kwangu
hizi ni dalili za kuwa na nyege..........
btw, wewe ni chama letu,kataa ndoa.huwezi kutenganisha hili chama na nyeto
Amna mkuu...najua kuji control
 
NDOA NI WIZI HASARA KWA MWANAUME

mafanikio yangu ya kua single

1: nimefanikiwa kutunza kibunda, wanaume walioa wanaolia maisha magumu na wacheka kimnya kimnya

2: nimefanikiwa kufanya mambo mapya ya msingi sana pamoja na uwekezaji mkubwa mno

3: Nikiweka jero mezani inakaa hata miezi mitatu bila kuibiwa

4: Soksi zangu ziko pair pair navitu vyangu vimejipangilia nikitaka soksi napata pair mfanano bila kupekua nyumba

5: hiz chupi huko nje naziona taka taka na nimechanua nyingi bure kabisa nikimaliza na fukuza.

6: Nimefanikiwa kumjengea mama yangu nyumba, kumpendezesha na kumnunulia ndinga la kwendea sokoni

7: Nimefanikiwa kupata marafiki wengi wenyefikra chanya, wapambanaji na wenye uchumi imara.

8: Furaha na amani ya moyo wangu ni kubwa sana pia afya yangu imeimarika sana maana hakuna mtu wa kunipigia makelele wala kunipaastress ya kunyimwa tamuu na vimizinga mizinga

NDOA NI WIZI, NDOA NI ANASA KIJANA USIOE
Daaah umeupiga mwingi mzee
 
Back
Top Bottom