Mafanikio yangu 2023 baada ya kuwa bachelor

Mafanikio yangu 2023 baada ya kuwa bachelor

Kila kitu kinafaida na hasara.
Ndio fungu ulilochagua kikubwa usiharibu kwa wengine na uwe tayari kukubaliana na consequences za kuamua kuishi kivyako vyako.
Ila inatisha sana kuwaza kuwa hautakuwa na familia milele, yamkini utakufa mwenyewe chumbani kwako watu waje kugundua baada ya mwili kuanza kuoza.
Tuombeane mema mkuu [emoji23]
 
Faida kwa mwaka huu wa fedha uchumi umekuwa kwa asilimia 40.2%
Kiwango cha saving kimeongezeka ukilinganisha na mwaka jana
Fikra za maendeleo kila panapokucha na niendapo kwa bed
Hamnaga drama zisizoeleweka
Amani na utulivu vimetawala

Hasara zake
Kufua kwangu ni changamoto kubwa mno inayoendelea kunitesa
No kukumbatia
No watoto
Hakuna wa kumkera
Sina hamu ya kurudi geto naona michosho tu

Kwa hasara hizo nathubutu kusema byebye wakataa ndoa, soon mwanenu naikata ndoa
Nitawaletea mrejesho kama muendelee kukataa ndoa au na nyinyi muje

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Yakikukuta usije kutuomba ushauri [emoji23]
 
mafanikio ni mengi

1. nimetunza kibunda, msimbazi mmoja uko mezani hapa mwezi mzima hakuna &&^$##% wa kuichukua
2. magonjwa nayasoma JamiiAfya kule, wale wa Gono, nawacheka tu chini chini
3. nikishatia nyeto, kila chupi huko nje naiona kama dada angu vile

KATAA NDOA

OKOA KIBUNDA
Kumbe mnakataa uzinzi na si ndoa! Ndoa ni taasisi ya heshima ya juu sana.a
Msinganishe ndoa na zinaa/umalaya
 
Mkuu hongera kwa tangazo lako,limekaa kijanja sana,yani hawa wavivu kufikiri utawapata.Tuachane na hayo ila swala la kufanikiwa linamambo mengi,je utawambia nini watu waliofanikiwa baada ya kuingia kwenye ndoa?
 
Oa tu ndugu yangu. Nashaur oa.kuna siku niliugua mke yuko safar...kazini kuna best angu wa kike tunatoka mkoa mmoja...alinihudumia vizur lakin kuna point nilizidiwa had kwenda chooni swez.....bahat nzur akafika mke...aisee nashaur oa tu
 
[emoji23][emoji23] Ukiugua unarudi Kwa mama
 
Back
Top Bottom