Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,615
- 5,798
Sas naunga mkono hii movement kwa mikono miwili.
Hakuna cha elimu mzee wangu mungu mwenyewe aliiona hii shida akasema ishini nao kwa akili yesu mwenyewe alisanda ndio akaikataa kaibisa mpaka anachomoka aliwafungia vioo mpaka mwisho.Shida mnaingia kwenye ndoa bila elimu kuhusu uoaji.
Ukimpata mtu sahihi ndoa ni jambo jema
Sas naunga mkono hii movement kwa mikono miwili.
Sawa niko tayari kwa mashart bila shaka.Karibu sana hujachelewa nafasi bado zipo
Sasa kabla hujapatiwa kadi ya kuwa member unatakiwa kula kiapo kwamba hutakisaliti chama then baada ya hapo utapatiwa kadi na utatambulika kama member wetu
USITUTISHEEEKila kitu kinafaida na hasara.
Ndio fungu ulilochagua kikubwa usiharibu kwa wengine na uwe tayari kukubaliana na consequences za kuamua kuishi kivyako vyako.
Ila inatisha sana kuwaza kuwa hautakuwa na familia milele, yamkini utakufa mwenyewe chumbani kwako watu waje kugundua baada ya mwili kuanza kuoza.
Kujichukulia sheria mkononi siku moja moja haina madhara kiafyatatizo linakuja unapopata ugwadu halafu siku huyo mfuko hauruhusu kununua malaya other wise bachelor ana raha kupita mtu yeyote duniani!!!!!
Hapa unataka kuleta siasa tu. Ndoa ni mkataba wa kitaperi kwa mwanaume, period.Shida mnaingia kwenye ndoa bila elimu kuhusu uoaji.
Ukimpata mtu sahihi ndoa ni jambo jema
Sheria mkononi au siyoo ha ha ha ha!!!Kujichukulia sheria mkononi siku moja moja haina madhara kiafya
Sio wote wanaotapeliwaHapa unataka kuleta siasa tu. Ndoa ni mkataba wa kitaperi kwa mwanaume, period.