harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 935
- 2,545
Nani ni dafu?
Sio kweli kwamba ethiopia watu wanakimbia kwa sababu hizo, kule kuna ukabila uliopindukia na sehemu kubwa ya ethiopia jangwa na ndio maana uwezi kukuta ethiopia ni maarufu kwa kilimo fulani,waethiopia historia yao ni ndefu enzi za vita ya wenyewe kwa wenyewe watu wengi walikimbilia nchi za nje hivyo jamii zile zinashawishi wenzao pia kuondoka katika nchi yao na nikufahamishe tu wengi unaowaona huku ni kukimbia ukame na ukabila.Afanye maendeleo ila mhimu zaidi azingatie UHURU na HAKI na AMANI, ametutungia sheria nyingi za ajabu ajabu na faini za ajabu ajabu watu tunaishi kama kuku wa kisasa.
Ethiopia inamiundo mbinu Bora kabisa Africa lakini wananchi wake wanaongoza kuimbia.
Hahaa walishaacha kauli ya Tanzania ya viwanda ilipotelea wapi hii kauliHahaha urafiki wanafuga kuku siku hizi hakuna kiwanda alichojenga Magufuli acheni kudanganya watu.
Mutex na Mwatex wanafuga nguruwe kule.
Huwa anawadanganya nanyi mna muamini au uoga na ujinga wenu tu?!
Ndoto za mwendawazimu. Endelea kulala ili upate majibu.Kama kawa kama dawa,mwenye mali hana akili na mwenye akili hana Mali, bado naendelea na mada zangu kumuunga mkono Magufuli katika kipindi hiki cha uchaguzi.
Napenda niwaambie Watanzania wazalendo ya kuwa rais magufuli kwa miaka hii mitano ameitumia kutuwekea misingi ya uchumi ambayo kwenye taifa lolote lililopiga hatua haliwezi kukosa yeye kama Rais aliamua kutupa matumaini mapya kuwa watanzania tunaweza tukiamua na ni kweli kwa vitendo amethibitisha hilo baada ya kufufua reli iliyokufa na kujenga nyingine kwa wakandarasi wazawa, anajenga bwawa la umeme nyenzo kuu ya uzalishaji, amejenga ukuta na masoko kudhibiti wizi wa madini, amejenga hospitali 60 za wilaya na 08 za kanda kwa ajili ya afya, anapanua bandari sisi ni njia ya kupitisha bidhaa kwenda nchi zisizo na bandari, amenunua ndege kwa ajili ya kuleta watalii, amejenga madaraja na barabara kwa ajili ya kusafirisha bidhaa kirahisi, na namshauri mh rahisi ili kupanua wigo wa ajila afanye yafuatayo ajaribu kuingia ubia na sekta binafsi kwa ajili kuanzisha miradi ya kimkakati kila kanda
Mfano : (1) anaweza kujenga kiwanda kikubwa kitakachokuwa kinatengeneza vitambaa aina zote na ubora wa kimataifa. kupitia kiwanda hiki kitaweza kupandisha thamani ya pamba na kitazalisha ajira za uhakika hivyo hakutakuwa na ulazima wa majeshi yetu na mashule na maeneo mengine kufuata vitambaa nje ya nchi. Hivyo hivyo kwa kila mkoa na aina ya mazao wanayolima, rais wetu ni bora sana huwezi mlinganisha na Lissu sema lazima tuendelee kumshauri nauhakika atatufikisha sehemu mzuri.
Unakaa dar tena kwa Tumbo, hujawahi toka hapo ulipo, unadhani utajua kweli kuhusu viwanda vilivyojengwa nchi hii? Endelea kubwbwaja nyuma ya keyboard na kuendelea kusema tanzania nzima ni Mo mwenye kiwandaHahaha urafiki wanafuga kuku siku hizi hakuna kiwanda alichojenga Magufuli acheni kudanganya watu.
Mutex na Mwatex wanafuga nguruwe kule.
Huwa anawadanganya nanyi mna muamini au uoga na ujinga wenu tu?!
Kwa akili zile Magufuli akijenga hata butcher nahama nchi.Unakaa dar tena kwa Tumbo, hujawahi toka hapo ulipo, unadhani utajua kweli kuhusu viwanda vilivyojengwa nchi hii? Endelea kubwbwaja nyuma ya keyboard na kuendelea kusema tanzania nzima ni Mo mwenye kiwanda
Ofisi ya chama mnayo mbona mumesharamba b300 mpaka sasa ya ruzuku .Kwa akili zile Magufuli akijenga hata butcher nahama nchi.
Hahaha nyie licha ya kupora majengo ya uma na kuyafanya ofisi, bado mlipewa rushwa na wachina kwa kuwajengea ofisi Dodoma sijui kwa malipo gani?!Ofisi ya chama mnayo mbona mumesharamba b300 mpaka sasa ya ruzuku .