1. Kuboresha Jiji la Dar es salaam, tafuta mwenyewe Mradi wa Kuboresha Miundombinu Dar na utakuta ni project ambayo ilisainiwa na kuwa funded wakati wa JK na Magu amekuja kuendeleza tu.
Dar es salaam
Project detail:-
For more: Dar es salaam Metropolitan Development Project!
2. Kuhamisha Makao Makuu kwenda Dodoma... kwa maskini kama mimi hilo linaniongezea njaa tu kwa sababu hatimae serikali wanatumia additional cost kufanya jambo kama hilo! Hao hao akina Ndugai wanatosha wakishangilia ndo maana yupo tayari hata kupigwa....
3. Umeme Vijijini... Huu nao ni mradi nao kaukuta, na mtu ambae aliusimamia kwa nguvu zote ni Prof Muhongo Awamu wa IV!!
Magu hapa amepokea kijiti tu!!
4. Reli Arusha:- Hivi nani aliwaambia Arusha wana shida ya usafiri hata muwapelekee matreni ya kizamani?
5. SGR... Mradi wa SGR ulikuwepo tangu zamani, tofauti ni kwamba estimation za awali ambazo hadi mkandarasi alipatikana ilikuwa USD 7.6 Billion, Magu akapiga chini kwa madai kuna upigaji!
Hadi hapa tunaposema, hata nusu ya ujenzi haijafika lakini tayari mradi umeshakula karibu nusu ya thamani iliyokuwa imepangwa awali aliyosema kuna upigaji!
Kwa maana nyingine, wakati alipiga chini ujenzi utakaogharimu USD 7.89 Billion kuna uwezekano MKUBWA yeye akajenga kwa zaidi ya USD 7.6 Billion... sasa huyu ndo wa kumsifia? Aliona mradi wa awali kulikuwa na upigaji au alitaka mkandarasi mwingine ili apige yeye?!