Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,239
- 6,584
Una miaka mingapiSina shahada yoyote
Una miaka mingapiSina shahada yoyote
36Una miaka mingapi
Ni vizuri ukafunguka mkuu ili tupate mwanga pengine naweza nikabadili mtizamo wangu.Ugumu uko sehemu Gani kwamba maslahi madogo,kuishi na mabosi,fitina au shida Nini funguka na wengine wajifunze wenye kuhitaji hiyo kada.Huku kugumu kinoma mzee.
SawaKuna jamaa nitakuunganisha nae yeye ni dereva mzoefu.
Mkuu ni rahisi sana kupata unachokitaka ila kwa umri wako ni ngumu sana, sababu utasoma basic hivi sasa ili upate leseni daraja D, utakaa na hilo daraja D kwa miaka 5 ambapo ndani ya miaka hiyo mitano utahakikisha umesoma Truck au PSV na kupata cheti ili leseni ikiexpire urenew uongeze daraja E au C ambayo ndo madaraja yanayotajiwa kuombea kazi serikalini na hapo wewe utakuwa na umri wa miaka 41 na umri wa kuajiriwa serikalini ni miaka 45, utakuwa umebakiza miaka 4 tu ya kupambana na usaili na kutoboa.
Si unaona Sasa hapa umenyooka ushauri kama huu ndo naoutaka,ko mkuu ko mkuu kutoka hapo kwenye D mpaka c na E ni lazima ukae miaka 5 hua hakuna shortcut yoyote mtu anaweza kutumia? Mbona kama naanza kukata tamaaMkuu ni rahisi sana kupata unachokitaka ila kwa umri wako ni ngumu sana, sababu utasoma basic hivi sasa ili upate leseni daraja D, utakaa na hilo daraja D kwa miaka 5 ambapo ndani ya miaka hiyo mitano utahakikisha umesoma Truck au PSV na kupata cheti ili leseni ikiexpire urenew uongeze daraja E au C ambayo ndo madaraja yanayotajiwa kuombea kazi serikalini na hapo wewe utakuwa na umri wa miaka 41 na umri wa kuajiriwa serikalini ni miaka 45, utakuwa umebakiza miaka 4 tu ya kupambana na usaili na kutoboa.
Na pia ukisha soma hiyo basic ukamaliza Sheria hairuhusu kuunganisha na elimu ukamaliza madaraja yote?Mkuu ni rahisi sana kupata unachokitaka ila kwa umri wako ni ngumu sana, sababu utasoma basic hivi sasa ili upate leseni daraja D, utakaa na hilo daraja D kwa miaka 5 ambapo ndani ya miaka hiyo mitano utahakikisha umesoma Truck au PSV na kupata cheti ili leseni ikiexpire urenew uongeze daraja E au C ambayo ndo madaraja yanayotajiwa kuombea kazi serikalini na hapo wewe utakuwa na umri wa miaka 41 na umri wa kuajiriwa serikalini ni miaka 45, utakuwa umebakiza miaka 4 tu ya kupambana na usaili na kutoboa.
Una miakaSina shahada yoyote
Acha Kona Kona huna vigezo mkuu fanya mambo mengine nyie ndio madereva ambao mnaua watuSi unaona Sasa hapa umenyooka ushauri kama huu ndo naoutaka,ko mkuu ko mkuu kutoka hapo kwenye D mpaka c na E ni lazima ukae miaka 5 hua hakuna shortcut yoyote mtu anaweza kutumia? Mbona kama naanza kukata tamaa
Huna vigezo fanya mambo mengine Miaka 36 hujui hata kuendesha gari ulikuwa unafanya Nini 36 years? Shame on youNa pia ukisha soma hiyo basic ukamaliza Sheria hairuhusu kuunganisha na elimu ukamaliza madaraja yote?
Huna vigezo fanya mambo mengine Miaka 36 hujui hata kuendesha gari ulikuwa unafanya Nini 36 yearsNa pia ukisha soma hiyo basic ukamaliza Sheria hairuhusu kuunganisha na elimu ukamaliza madaraja yote?
Sio kukata tamaa ni vigezo huna mkuu Lima nyanyaSi unaona Sasa hapa umenyooka ushauri kama huu ndo naoutaka,ko mkuu ko mkuu kutoka hapo kwenye D mpaka c na E ni lazima ukae miaka 5 hua hakuna shortcut yoyote mtu anaweza kutumia? Mbona kama naanza kukata tamaa
Inawezekana ukiongea kitaalamu na vehicle inspector, hapo itabidi afanye manuva ya kutoa leseni nyingine kabla ya ile ya awali haijaexpire.Si unaona Sasa hapa umenyooka ushauri kama huu ndo naoutaka,ko mkuu ko mkuu kutoka hapo kwenye D mpaka c na E ni lazima ukae miaka 5 hua hakuna shortcut yoyote mtu anaweza kutumia? Mbona kama naanza kukata tamaa
Kuunganisha unaweza kipengele kwenye kuongeza hayo madaraja kwenye leseni iliyo haiNa pia ukisha soma hiyo basic ukamaliza Sheria hairuhusu kuunganisha na elimu ukamaliza madaraja yote?
Sawa kama unaamini ajali zinasababishwa na madereva tu pole Yako.Una miaka
Acha Kona Kona huna vigezo mkuu fanya mambo mengine nyie ndio madereva ambao mnaua watu
Ushauri mzuri sanaInawezekana ukiongea kitaalamu na vehicle inspector, hapo itabidi afanye manuva ya kutoa leseni nyingine kabla ya ile ya awali haijaexpire.
Ushauri kwa wote:
Kama ndugu yako au wewe una umri wa miaka 18 kurudi chini, soma sasa driving course ili angalau ukiwa na miaka 22 au 23 uwe na daraja E au C na vyeti vyake ili uje upambanie ajira za taasisi za uhifadhi kama vile TANAPA na Ngorongoro, kule Wana sharti la umri usizidi miaka 25 hivyo ushindani unakuwa mdogo make madogo wengi hawajui gari wala hawajahustle, cha kufanya wewe unatake advantage ya kujifua haswa afu unaenda kuwanyoosha kwenye usaili.
Sawa hongera Yako wewe mwenye mafanikio kuzidi walima nyanyaHuna vigezo fanya mambo mengine Miaka 36 hujui hata kuendesha gari ulikuwa unafanya Nini 36 years
Sio kukata tamaa ni vigezo huna mkuu Lima nyanya
Huko ni sawa na kumwambia mtu kwanini wewe huna gari umri wote huu wengine wanazoHuna vigezo fanya mambo mengine Miaka 36 hujui hata kuendesha gari ulikuwa unafanya Nini 36 years? Shame on you
Inategemea na kazi/gari utakalopewa.Mwenzenu Mimi ndo natarajia kuanza veta lengo likiwa kupata cheti Cha mafunzo ya udereva hatimae nikamalizie na NIT.Lengo ni kuingia serikalini kupitia driving kwahivyo wale madereva wazoefu mlioko huko,wale mnaohusika na kada ya usafirishaji serikalini naombeni ushauri katika Hilo aidha changamoto za kazi,maswali ntakao kutana nayo kwenye interview,safari na muda ntakao tumia mpaka kuja kupata control number n.k
Kama check number ntakua nimepewa sio mbaya hiyo boda naweza kua napigia mishe zangu pia regarding kazi yangu itakua sio ya kukaa ofsini.Inategemea na kazi/gari utakalopewa.
Unaweza pewa hata bodaboda ukawa kazi yako ni kusambaza barua tuu ma ofsini.