Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Status
Not open for further replies.
Ukiingia kwenye mtandao wa "Badoo" mademu wa kibongo humo ndo wamo wengi sana, wote ni wezi, matapeli na wanaojiuza....


Badoo ni noma wadada wanajiuza hadi laki 2 waziwazi wanakuambia.ukisoma profile yake anataka kudate mwanamme miaka 30-60 yeye mwenyewe ana miaka 22/23 unashangaa.wadada wapo kipesa zaidi mengine baadae.
:A S 39::A S 39::A S 39:
 
hata jero wanaomba! ndio maana muda wote cm zao unakuta zna vocha! hii tabia tunaiita kupiga kirungu, lakini sio wanawake wote wako hivyo.
 
nilijua hiyo mizinga napigwa mimi tu kumbe tuko wengi. mi nimechoka sana na hiyo mizinga cha ajabu nikiwapa kaz wafanye awatak.
nikiwambia kuwapa mtaji wachague biashara wananijibu wanataka ya kwenda hongkong. dubai na bangkok thailand.

awatak kuanzia biashara ya kati. wanaboa sana

"MONEY STUNNA" hahhaa I love when your comment reflects your name!
 
SMS za kupiga mzinga huanza hivi.. "Honey nikwambie kitu"
 
Ahahahaha mm siwezi changia mada hii kwa sababu kuu hizi:

(1)Wanawake ndiyo Mama zetu ndiyo wake zetu na ndiyo dada zetu-Kuwasimanga kwa sababu wamekuomba pesa ni kuwavunjia heshima!

(2)Kuna wanaume wengi tu nawajua tena wapo kwenye ndoa lkn WAKE zao ndiyo wanaendesha familia ambapo WANAUME zao wanaomba toka kwa WANAWAKE zao

(3)Mzinga hauna jinsia

DEMBA nakuomba PM please tuongee yetu

haya leta story ss Malafyale
 
Last edited by a moderator:
Unajua kiukweli hili ni la kweli kabisa bila chenga. Yaani siku hizi ukijuana na mdada kwa muda fulani halafu mkachat tu bila kukuomba pesa pengine mwezi mzima ukaisha, huyo dada mheshimu sana. Kwa sbb wengi sana ukifahamiana naye masaa kadhaa tu lazima akutangazie shida na kukuomba hela. Mpaka tajuta kufahamiana naye. Kina dada mnakera siyi siri


Mi kuna mmoja tulionana mara moja tena kwa dk chache mno! ilikua sikua ya ijumaa... Hee mara j3 huyu anaomba laki!!!! i was stunned kwasababu she weakened herself to me mpaka nikakereka maana hawa watu sio vilema jamani mbona wanajiletea mabalaa!! Sasa nikashindwa cha kufanya maana nilishajua ndio naingizwa kwenye majaribu... Nikamjibu nilipo sina hela labda next week!! Na nina uhakika this week atarudi!! It is sooo sad
 
haya leta story ss Malafyale

mwezi huu mwishoni nakuja Tandale-Dar kuja kuuza mazao yangu;Ingelikuwa vyema kama tungeonana hasa unionyeshe Uwanja wa Taifa,soko la kariakoo,maduka mengi ya pamoja ya Ubungo,uwanja wa ndege wa Kipawa,kituo cha mabasi ya Ubungo na hata maumeme mengi pamoja ya Ubungo,RTD hasa mtangazaji Juma Nkamia,TAZARA na Gereza kubwa la Ukonga!

Nakuja Dar kwa mara ya kwanza DEMBA!Nipokeeni jamani na mnionyeshe hayo niliyoyataja mweee
 
Kama ndio hivyo yale makelele ya " babe usije kwanza jaman... Ooh babe ingiza ni yako yote"" Huwa yanatoka yenyewe au ndio tunayolipa kwanza???


Hayo ndiyo unayoyalipia mpendwa.
Unafikiri bila kelele utalipaje Kidonda?
Acheni tu.
 
Last edited by a moderator:
Utakuta Mwanamke wako kabisa umemaliza kula mzigo anataka uumpe hela as if kakuuzia sasa kuna tofauti gani na wa Joly? Mbingu zao za kukuomba hela anataka hela ya Teksi au Bajaj ukimwambia nikurudishe gari si hii hapa wananuna.

We unaleta kipapa chako huna hata hela ya Bajaj halafu ndio mnataka haki sawa. Ila kuna Wanawake wengine smart utakuta anataka mgegedo na show anasimamia yote mwenyewe analipia hotel n.k

Huyo lazima ajuza!!!
 
kitu cha kushanga kabisa wanaomba mpaka watu wasio wajuwa,huwezi kwenda kuomba mtu ambae mmekutana kwenye hii mitandao ya kijamii,mwisho watakuja omba mpaka majini kwa hizi tabiya zao za ajabu,sema upande mwingine inasaidia sana ukikutana na mwanamke wa namna hiyo mana unakuwa umemjuwa mapema kabisa tabiya yake kwahiyo hapo unachagua kunyoa au kusuka.
 
mwezi huu mwishoni nakuja Tandale-Dar kuja kuuza mazao yangu;Ingelikuwa vyema kama tungeonana hasa unionyeshe Uwanja wa Taifa,soko la kariakoo,maduka mengi ya pamoja ya Ubungo,uwanja wa ndege wa Kipawa,kituo cha mabasi ya Ubungo na hata maumeme mengi pamoja ya Ubungo,RTD hasa mtangazaji Juma Nkamia,TAZARA na Gereza kubwa la Ukonga!

Nakuja Dar kwa mara ya kwanza DEMBA!Nipokeeni jamani na mnionyeshe hayo niliyoyataja mweee
Malafyale usijali yaani ukisikia mjuvi wa jiji ndio mimi. ntakupeleka hadi baharini ukashangae kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Ombaomba unawajua weww au umeamua kuongea tu. Matonya na ndugu zake utawaita nani
 
Aaah wapi.... sio triki wala nini mnamaanisha.. tena ukiahidiwa kupewa siku hiyo unaenda hata bila kuvaa chupi.... nadhani wengi wenu mmekafanya kapapuchi ni bidhaa isiyo rasmi ama kivutio.Ngastuka. c.c. Madame B

Mmh! Wewe! Wengine hatupendi kuvaa chupi, usi-judge kwa hiyo criteria. Either way, I am a 'she' and believe it or not, I loathe girls/women who ask for money from men, I've witnessed some acquaintances doing that from men they are 'casually dating' . Fellow girls, its trashy stop it. Tafuta means nyingine but don't ask ftom men. Whether they are ok with it or not, just don't ask, at least subirini mpewe bila kuomba basi, lol!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom