Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Status
Not open for further replies.
Hivi inakuwaje unakutana na demu ambaye sio mtu wako wala hakuwahi kuwa mtu wako ila mnafahamiana fresh tu... Lakini unakuta baada ya muda mrefu wa kutokuwasiliana siku ukijichenga tu ukampigia au ukamtumia sms badala ya jibu unalotarajia utasikia "nikopeshe laki na nusu nina shida nayo ntakurudishia!"... Au siku hiyo unaitwa "dear nina shida na elfu hamsini ya salon"... Sasa unabaki unashangaa mazoea hayo yameanzia wapi!!? Na kwanini mpaka ukimtafuta tu ndio anatangaza shida zake?? Mbona ukiwa kimya hakutafuti?? Girls u need to change... Shida zenu zisiwadhalilishe!! Mdau unasemaje kuhusu hili!!?

Mie nilikuwa najiuliza kuwa kuna chuo cha "mizinga" wanapitia siku hizi au ndo hali ya maisha imekuwa tight sana. Unaweza ukapigwa mzinga hadi ukasema hiki nini..!? c.c Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Ni mwiko kumhonga demu akitaka ANIHONGE yeye,utamu ninaopata mimi ndio utamu anaopata yeye.
 
Hii ni triki mpya ya kumkimbiza mwanaume. Ukiona anakutaka mwombe hela ndefu harudi tena
 
Aaah wapi.... sio triki wala nini mnamaanisha.. tena ukiahidiwa kupewa siku hiyo unaenda hata bila kuvaa chupi.... nadhani wengi wenu mmekafanya kapapuchi ni bidhaa isiyo rasmi ama kivutio.Ngastuka. c.c. Madame B
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa ndo triki si ungekuwa umefanikiwa kum triki yule mangi..?' muli bhahijhi kyadogo..

Mtoto kalilia wembe......ndo kapewa mwache asubiri umkate.Hamahala ghakajamo Nchaga jula!!!!!Kali pooooooo,kali kwiiiiiiii!!!!
 
Ukiwa na hela hawa viumbe utawapanga sana na hata uwape mateso kama ya hitler hawaondoki!
 
Aaah wapi.... sio triki wala nini mnamaanisha.. tena ukiahidiwa kupewa siku hiyo unaenda hata bila kuvaa chupi.... nadhani wengi wenu mmekafanya kapapuchi ni bidhaa isiyo rasmi ama kivutio.Ngastuka. c.c. Madame B

Nyie wanaume wa sa hv mnapenda sana vya bure.
Hamjui kuwa inabidi unipe hela ili nikanunue mashine, nipasafishe huko ili uweze pita vizuri?
Nahitaji chupi nzuri ili nawe uvutiwe na mimi!
Matokeo yake ukinikuta na minywele huku chupi yangu haieleweki, utakuja kunifungulia thread.
Akhaaa...mtupe hela.
 
Last edited by a moderator:
Mh! Huyo naye kazidi rafiki 2 anaanza kutangaza dhiki, binafsi tabia ya kuombaomba siipendi huwa naona najidharilisha.
 
Hivi inakuwaje unakutana na demu ambaye sio mtu wako wala hakuwahi kuwa mtu wako ila mnafahamiana fresh tu... Lakini unakuta baada ya muda mrefu wa kutokuwasiliana siku ukijichenga tu ukampigia au ukamtumia sms badala ya jibu unalotarajia utasikia "nikopeshe laki na nusu nina shida nayo ntakurudishia!"... Au siku hiyo unaitwa "dear nina shida na elfu hamsini ya salon"... Sasa unabaki unashangaa mazoea hayo yameanzia wapi!!? Na kwanini mpaka ukimtafuta tu ndio anatangaza shida zake?? Mbona ukiwa kimya hakutafuti?? Girls u need to change... Shida zenu zisiwadhalilishe!! Mdau unasemaje kuhusu hili!!?

Usipende mademu ambao hawana kazi za kufanya unategemea nini zaidi ya Mizinga maana wao kutwa ni kushinda vibarazani na masela hasa madem wa Kinondoni na uswahili kwingine
 
Kaka unashkuriwa kwa mchango wako

Ila watoto wa uswazi tuache kama tulivyoo
 
Ni kweli mademu wa Siku hz ni Omba omba balaa tena ving'ang'anizi sana wapo mabingwa wa kubomo vocha wapo mabingwa wa m pesa tigo pesa nk utashangaa unaitwa Baby Leo nitakuwa club na friends zangu nilushie Laki basi baby nakependa yaani inashangaza sana ! Umlushie pesa akazichezee Disco wakati kuna ndugu wana shida wagonjwa nk wanahitaji pesa lakini hawapati msaada kabsa lakini Mademu wamewageuza Wanaume mbumbu wa matumizi bora ya pesa matokeo yake hii Tabia inazidi Kuwa Sugu na kuhawaribia jina wale Wanawake wenye Tabia nzuri wasiopenda Chuna buzi wachapa kazi watafutaji kwa njia sahihi paspo kuuza nafsi zao .Hii Tabia ya omba omba Pia ipo kwa vijana marioo na masharobaro wanapenda sana mizinga matokeo yake wengi sasa wamekuwa Watumwa .
 
Hivi inakuwaje unakutana na demu ambaye sio mtu wako wala hakuwahi kuwa mtu wako ila mnafahamiana fresh tu... Lakini unakuta baada ya muda mrefu wa kutokuwasiliana siku ukijichenga tu ukampigia au ukamtumia sms badala ya jibu unalotarajia utasikia "nikopeshe laki na nusu nina shida nayo ntakurudishia!"... Au siku hiyo unaitwa "dear nina shida na elfu hamsini ya salon"... Sasa unabaki unashangaa mazoea hayo yameanzia wapi!!? Na kwanini mpaka ukimtafuta tu ndio anatangaza shida zake?? Mbona ukiwa kimya hakutafuti?? Girls u need to change... Shida zenu zisiwadhalilishe!! Mdau unasemaje kuhusu hili!!?

ah wewe wacha lalamika tuo pesa hizo bwana ila hakikisha tuu chupi anavua....na nakuhakikishia ukimpa chupi anavua tuu. ukimpa wampeleka na kidate kidogo basi huyo unamla kwa raha kabisa. sasa kidume ukishamlamba usiende kugegeda tena. atakutafuta mpaka basi. game over
 
Sisi huwa ni Wepesi wa kuiga mambo ya ulaya lakini hili la wanawake wa kizungu kutopenda kupiga mizinga wanaume Mbona wanawake wa tz hamjawaiga ?wanawake wa kizungu hawapendi mizinga na hata akimpenda mwanaume anaweza yy akawa ndiye anampa pesa tena bila kuombwa kwani na wanaume Nao hawapendi mizinga yaani Ulaya mizinga ni mwiko na aibu !lakini hapa Tz Ni ufahari demu kubobea ktk mizinga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom