Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Status
Not open for further replies.
Dah...halafu nishakutanaga na hali kama hii...kuna binti nilikutana nae Internet cafe akaniomba nimsaidie kufungua acount ya facebook, then akani-friend...tukaendelea kuchat...Mara siku moja akanamabie amefiwa na baba yake Moshi anaomba nimchangie nauli, nikagoma kutoa hata mia...akanichunia kwa muda mrefu sana...baadaye akanikuta online akanisalimia na tukabadilishana msg mbili tatu...mara akaanza unajua nimefiwa na baba yangu najiandaa kwenda msibani...nikamuuliza kwani ile mwaka jana aliyekufa alikua nani....KAPOTEA MAZIMA...namsubiria aje na jipya! In short dada zetu wamezidi kuomba hata kama maisha ni magumu lakn wanazidi...unakuta wakati mwingine anaandika message moja na kuituma kwa watu hata 10, na mbaya zaidi unakuta hao watu ni marafiki na wanasimuliana matokeo yake inakua fedhea tu! BADILIKENI BWANA
Au hata hujamwona uso wake, hujui alivyoipata namba yako, anakupigia ati kapatwa na msiba, anakuomba laki na nusu nauli ya kwenda kwao.. Jamani, inauma eeh. Najiuliza, hivi nikimwomba yeye elfu hamsini nimefiwa na mjomba atanitumia? Bongo ni bongo kweli kweli. Tena sauti yake ya uhakika kabisa kuwa hicho ni kiasi kidogo saana. Najiuliza, kama ningetokeza naye, tungespend ngapi aniamini?? Atakuwa anaufundi gani hiyo night ya gharama hivyo?
 
Yamemifika hapo baada ya mapenzi mengi kujaa ulaghai na mengine yakiwemo Uvivu,ujinga ,maisha ya kuiga/luninga,kukataa tamaa,maisha ya mashindano.
 
nadhani hizo ndo fursa zinazopigiwa debe na wafufm kweli mwenyewe nimeona wengi sijui hawawezi kutumia uwezo wao?
 
kweli kabisa kaka sijui tatizo lao nini? au kwa sababu mwl nyerere aliwaambia uchumi wao wameukalia ndio maana wanataka kuutumia..
 
Afu siku hizi ni wote, hata makanisani na misikitini, life gumu kweli aisee, afu tatizo ka influence kutoka kwa washkaji na tv, wanavyoona binti anapiga mzinga anaonekana mjanja bac na wao ngoma ileile, Mimi mshiko ckupi ng'o kwani lazima unipe mzigo, kabla cjakujua nilikua naishi vizuri tu, mzigo hadi ndoa bna, kama unanipa kabla ntakuchoka baada ya round mbili tatu ntapotezea
 
Stata Mzuka hii ni tabia na imekuwa mazoea... Awe na hela au hana ni walewale tu... Kwa wale wenzangu tunaopata gambe wewe utakuwa shahidi yangu... Siku hizi ukiingia bar unakutana na mijicho ya hurumaaa inakuangalia sasa ikatokea moja ya meza yupo mmoja tu unamfahamu kidizaini tu ukatoa hi!! Ndugu hiyo hi yako utaiuza maana yatakuangalia umekaa wapi!! Then mhudumu anaitwa "mwambie yule kaka tunaomba bia!!!"... Nyambafu kwani mi ndio nimewaleta bar? Au mnajua bajeti yangu mfukoni... Asa wakati mwingine unakuta yanakunywa maji ukimwambia mhudumu waongezee wanavyokunywa... Hahahaha mzee utashangaa wanavyobadilisha huyu utasikia savana bariiidii! Mwingine nipe redbull.. Mwingine utasikia una dompo red hapo!!? Nyambaaaafu kama unakunywa dompo na huna hela unafuata nini bar!!? Kazi kuombaomba tu... Jamani madada zetu acheni hiyo tabia swala la kutombwa bure au na hela lisiwafanye muwe ombaomba!!!
 
Raha mpate wote alafu mmoja anapata na kaadvantage ka kulipwa!!.... Noooo please itabidi wanaume na sisi tuweke ngumu!! Tena unakuta demu ndio analalamika kwa utamu mwanzo mwisho!!! Mzee ukikaa mkao ambao haupo confortable ukitaka kugeuka anakwambia "hapo hapo usigeuke!!" mzee unateseka mpaka mwisho alafu mwisho wa siku anakinga mikono anataka alipwe!!! Pambaaafu kwani nini bana... wewe Madame B ukiwa na nywele ndefu huko au chu***p isiyoeleweka ni uchafu wako huo!! Ina maana mpaka uhongwe ndio unaenda kunyoa!? Au unapanyoa ili wapaone wangapi!? Is that a business!!?
 
true say kiongoz mi kuna mmoja wa chuo jiran ivo ivo kunizoea wiki eti kanianza anataka nimkopeshe sh elf 60, kwani alipewa pesa na rafiki ya mama yake lakiniakaitumia sasa anataka kumpa mama yake na hela hana
 
Omba omba kwa wadada wa Mjini ni kasumba Sugu iliyojengeka miongoni Wadada waliobweteka kwa kuishi kwa Ubwete wakitegemea Sura zao pasipo kujua ujana ni maji ya moto ipo siku watazeeka japo wapo wanaozeeka na misimamo Yao ya omba omba pasipo kujali jamii inawachukuliaje !Tiba sahihi ya kukomesha Omba omba ya mademu ni Wanaume Kuwa ngangari na kuacha Kuwa dhaifu mbele ya wadada wachache wapenda Ubwete itasaidia wadada kujitambua na kuacha Tabia mbovu za omba omba nina imani wale wadada wachache wanafanya omba omba wataacha kazi omba omba na kubuni mbinu stahiki za kujipatia pesa

Asa mkuu, yeye kasema anataka kuniona, wewe waja kumquote kuwa madada wa mjini ni ombaomba chini ya post yangu.
Haya bhana.
Ila mie sio tegemezi.
 
Hicho siyo kigezo. Raha anapata peke yake??? Kama ni wote kwa nini hospitality ioneshwe na mwanaume peke yake??? Halafu mnaukataa utawala dume kama wenyewe mnaji shape kiutawala dume.

Shem ila nyie mmezidi.
Mnatukamua sana vitandani.
Hata kama nimechoka utataka ujipigie mabao hata 6, ndo mana twadai hela mana mnatupa maumivu huku nyuchini.
 
Afu wewe mizinga huwezi acha... mizinga inakuingizia mara tatu zaidi ya mshahara wako.. ndo maana nilipokustukia nimeongeza kasi ya mikopo ...

Hahaha, wajinga wajinga mjini hapa mbona wanaipatapata.
Mizinga mpaka akili ikukae sawa.
Thubutu yako...mjini hapa, nani umkope,
nitakupiga kalenda mpaka upagawe.
 
Raha mpate wote alafu mmoja anapata na kaadvantage ka kulipwa!!.... Noooo please itabidi wanaume na sisi tuweke ngumu!! Tena unakuta demu ndio analalamika kwa utamu mwanzo mwisho!!! Mzee ukikaa mkao ambao haupo confortable ukitaka kugeuka anakwambia "hapo hapo usigeuke!!" mzee unateseka mpaka mwisho alafu mwisho wa siku anakinga mikono anataka alipwe!!! Pambaaafu kwani nini bana... wewe Madame B ukiwa na nywele ndefu huko au chu***p isiyoeleweka ni uchafu wako huo!! Ina maana mpaka uhongwe ndio unaenda kunyoa!? Au unapanyoa ili wapaone wangapi!? Is that a business!!?

Hahahahaha!
Umenifanya nicheke kwa sauti kubwa.
Jamani, sie twataka hela za kununulia chupi na nyembe za kunyolea.
Dah!
Watu mna makavu live.
 
Bongo njaa kali sana so tusiwalaumu sana hawa viumbe dhaifu. Ndio maana ikitokea mtu ana vihela vya mbuzi vya kuhonga, atawatafuna na kuwapanga msururu cz kila demu anataka hisani.

Kama anavyowafanya Manaiki Sanga!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom