Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Kiranga apa nilipo nina proforma ya Galaxy mpya, mtu hatujaonana wala kufahamiana vizuri..hatari sana hili tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiri, nadhani jamii yetu inabadilika haraka sana sana

Piga chini mwana, majanga tu hayo.

Utakuja kujuta mwenyewe.

Mwanamke mzuri hata asipokuomba utatoa mwenyewe tu kutokana na mapigo yake.Tena unapotoa unatoa kikubwa, mambo ya gari, nyumba, sio upuuzi wa simu na vocha.

Au akikuomba unaweza kutoa kwa kuona anastahili kwa mujibu wa mlivyojuana.

Sio sunguratope tu anatoka matopeni huko hata hamjuani anakuomba Galaxy kama kusotea hela mnasota wote.

Hata kama ni mdhaifu wa kei, sio kihivyo.
 
mambo mengine wa kulaumiwa ni nyinyi wenyewe. siku hizi watu wanaona ngono ni kama maji ya kunywa. ndio maana mnadiriki hata kununua, tofauti na wazee wetu. ambao walikuwa wakisubiri hadi wakati muafaka, lakini leo hii hajulikani aliyeoa wala siyeoa. so mwanawake wamekuwa ombaomba na wanaume wamekuwa omba omba. tofauti ni huyu anaomba ngono huyu anaomba pesa. jamii nzima inapaswa kubadilika.
 
Word.............
 
Maneno mazito hayo.

Wanaume mkitaka wanawake wa maana na nyie muwe mnajiheshimu.

Huwezi kutaka kucheza kila kiwanja halafu ukiambiwa kuna kiingilio ubweke kwa seleka za jeuri ya hila kwamba hupendi hashuo.
 
Yethuu na Maria, we Kiranga yaani tunabweka...??? Nimecheka sana usiku huu. Watu mna manenooooo....
 
heee....basi hutaenda popote baby maana Malafyale ataishia chalinze...ata vigwaza hafiki. Yaani niibiwe nikiwa naona?:frusty::A S-confused1::shocked::cell::A S angry::A S-coffee:

hahahaaa hataki kulinda nyumba weye?
 
Last edited by a moderator:
Yethuu na Maria, we Kiranga yaani tunabweka...??? Nimecheka sana usiku huu. Watu mna manenooooo....

Sio kubweka tu, bali pia kubweka mdomo juu.

Watu wanataka ku commoditize punnany, sawa, wakitajiwa bei wanakuwa mbogo.

On the other side, dada zetu wengine mnatukimbiza.

Mze wa vitu vikubwa naweza kuja na mahesabu ya kumnunulia nyumba ama gari demu, kwa muda wangu na mahesabu yangu mwenyewe, nimfanye hata mama watoto.

Halafu hapo hapo kabla hata kumjua jina naona mizinga ya vocha na simu.

Lazima nitoke bomba, naona hapa hamna class.Hashuo inanuka kuliko shombo la Shangani.
 
kweli kabisa, hii inatokana kuwa na matumizi makubwa na wako kimashindano
 
da! kumbe kuna wenzangu mi nimekoma mademu wa kwenye mtandao noma sana tulianza kuchart kama utani jamaa akaanza kuniita my love cku ya kwanza ya pili anaomba fedha 60000 kuna cm anataka kununu nikampa cku 3 kama utani vile anasema ana ham ya chips
 
Demu kumjua siku ya pili tu anataka umnunulie simu mpya, halafu hapohapo hata kabla hujanunua simu kashaanza kukuchomekea habari za kumtengeneza nywele.

Hata kama ulikuwa na moyo wa kutoa kama Mama Theresa uzalendo utakushinda.

mkuu umeandika vema..hata demu fulan nilimpata eti alivoona nipo kimya akawa ananiambia kuna haja gani ya kua kwenye uhusiano alafu hatusaidiani? kumbuka hata week haijaisha anataka cmu mpya,hela ya nauli..mpaka leo nimechuna hapati hata senti moja..mabinti wa kibongo kaazi kweli kweli
 
Usijihashue hapa.
Kinu ndo kinaumia. Hvo inabidi mtulipe mkishamaliza kutwanga.

kinu hakiumii madam sababu ni kazi yake.kinachoumia pale ni kile kinachotwangwa.mfano ulezi,mahind,karanga lakini sio kinu
 
mkuu umeandika vema..hata demu fulan nilimpata eti alivoona nipo kimya akawa ananiambia kuna haja gani ya kua kwenye uhusiano alafu hatusaidiani? kumbuka hata week haijaisha anataka cmu mpya,hela ya nauli..mpaka leo nimechuna hapati hata senti moja..mabinti wa kibongo kaazi kweli kweli

Mkuu, umefanya vema!
Baadhi yao wanasubiri tu kumpata mtu wa kuwatatulia matatizo yao! Siwezi kukutana na msichana leo, tena online alafu kesho anaomba hela, hata vocha sitampa. Hata kama naweza kufanya hivo.

Kusema kweli baadhi yenu wadada mnatia aibu sana, unachat na mtu siku moja, siku inayofata unamuomba 50, 000/ unadhani yeye hana matumizi na hela yake? Subiri angalau muanze uhusiano basi!
Mlio na tabia ya omba omba muache, si vizuri kabisa, mnatudhalilisha kaka zenu!
 
mkuu umeandika vema..hata demu fulan nilimpata eti alivoona nipo kimya akawa ananiambia kuna haja gani ya kua kwenye uhusiano alafu hatusaidiani? kumbuka hata week haijaisha anataka cmu mpya,hela ya nauli..mpaka leo nimechuna hapati hata senti moja..mabinti wa kibongo kaazi kweli kweli

Hiyo ni tabia, kuna wabongo wengine hawana hiyo.

Na hata wasio wabongo kuna wengine wanayo hiyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom