Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Status
Not open for further replies.

ddsmchau1712

Member
Joined
May 13, 2011
Posts
37
Reaction score
9
Hivi inakuwaje unakutana na demu ambaye sio mtu wako wala hakuwahi kuwa mtu wako ila mnafahamiana fresh tu... Lakini unakuta baada ya muda mrefu wa kutokuwasiliana siku ukijichenga tu ukampigia au ukamtumia sms badala ya jibu unalotarajia utasikia "nikopeshe laki na nusu nina shida nayo ntakurudishia!"... Au siku hiyo unaitwa "dear nina shida na elfu hamsini ya salon"... Sasa unabaki unashangaa mazoea hayo yameanzia wapi!!? Na kwanini mpaka ukimtafuta tu ndio anatangaza shida zake?? Mbona ukiwa kimya hakutafuti?? Girls u need to change... Shida zenu zisiwadhalilishe!! Mdau unasemaje kuhusu hili!!?
 
My friend, ni ukweli mbaya kwamba wadogo zetu wa kike siku hizi wamekua zaidi ya matonya yule ombaomba maarufu Tanzania na africa nzima

Sijui ni nini kimetokea lakini 7-8 out of ten bintis (awe ndugu, jamaa, au hata stranger) ukimpa nafasi ya small chat ya one hour plus, ujue mkuki wa shingo uko live kabisa

Maybe nina bahati mbaya ya kukutana nayo, ila this is a sign of a big problem kwa jamii yetu knowing that akina mama ndio mihimili ya familia na jamii kwa ujumla.... nini kitafuatia endapo jamii inasimamiwa na type hii ya watu?
 
sasa unataka tuwe tunawaibia tusiwaombe? mbna na nyie wanaume ni mabingwa wa ku2pga vibomu?! hii ni kwa jinsia zote
 
Au hata hujamwona uso wake, hujui alivyoipata namba yako, anakupigia ati kapatwa na msiba, anakuomba laki na nusu nauli ya kwenda kwao.. Jamani, inauma eeh. Najiuliza, hivi nikimwomba yeye elfu hamsini nimefiwa na mjomba atanitumia? Bongo ni bongo kweli kweli. Tena sauti yake ya uhakika kabisa kuwa hicho ni kiasi kidogo saana. Najiuliza, kama ningetokeza naye, tungespend ngapi aniamini?? Atakuwa anaufundi gani hiyo night ya gharama hivyo?
 
Mangatara it's true!!!... Mi kuna demu ni jirani tu hatuajazoeana kiivo.. Kuna siku akanipigia simu eti ana msiba rafiki yake kafiwa na bibi yake arusha nimpe elfu 70000 za naulia na mambo mengine!!! Na siku hiyo aliniita "mpenzi wangu!" ilibidi nimpigie kumuuliza kulikoni... Nikakutana na sauti ya mahaba sio mchezo... Asa nikajiuliza huu wizi mpaka lini jamani!!!???
 
Bongo njaa kali sana so tusiwalaumu sana hawa viumbe dhaifu. Ndio maana ikitokea mtu ana vihela vya mbuzi vya kuhonga, atawatafuna na kuwapanga msururu cz kila demu anataka hisani.
 
nilijua hiyo mizinga napigwa mimi tu kumbe tuko wengi. mi nimechoka sana na hiyo mizinga cha ajabu nikiwapa kaz wafanye awatak.
nikiwambia kuwapa mtaji wachague biashara wananijibu wanataka ya kwenda hongkong. dubai na bangkok thailand.

awatak kuanzia biashara ya kati. wanaboa sana
 
Ukiingia kwenye mtandao wa "Badoo" mademu wa kibongo humo ndo wamo wengi sana, wote ni wezi, matapeli na wanaojiuza
 
Somtym wanapima kina cha maj kwa mti km anatafuka lazma akupige mkuki wa shingo ila ad wnabore jinsia pinzan maana wanatulazm tuwafnyie vtu nyume na matakwa yetu
 
Hapa anazungumzia ndo kwanza mmeanza mawasiliano hata week haijaisha ndo mizinga inaanza,si bora ukute hata umesha duu nae ,hata kufahamiana vizuri bado ashaanza mizinga
 
Unajua kiukweli hili ni la kweli kabisa bila chenga. Yaani siku hizi ukijuana na mdada kwa muda fulani halafu mkachat tu bila kukuomba pesa pengine mwezi mzima ukaisha, huyo dada mheshimu sana. Kwa sbb wengi sana ukifahamiana naye masaa kadhaa tu lazima akutangazie shida na kukuomba hela. Mpaka tajuta kufahamiana naye. Kina dada mnakera siyi siri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom