Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Status
Not open for further replies.
Ni hapo Facebook mkuu sidhani kama wadada wa JF ni ombaomba? Hapa kila mtu anayadrive maisha kivyake na hata ukitaka msaada usisite kumwaomba mdada.

Kuna wengi wana njaa tu humu. Wanaojitegemea wachache sana.
 
kwa hiyo mademu sasa wamekuwa kikosi cha mizinga duuh itabidi tukikutana nao tuwe tunavaa helmet.
 
Posts zako zinatisha dini yangu inanifunza kinywa hunena yaujazayo moyo.

Achana na mambo yako ya dini, nani asiekuwa na dini?
Au wewe ni mfiadini?
Kwa hyo post zangu ndo zakufanya unishangae?
Nyie ndo mlioenda jando ukubwani.
Sasa wewe usilolijua nini?
Hukusoma Biology?
 
Okay Tuyaache hayo ila Tofautisha Mapenzi,Ngono&money Madame B
 
Last edited by a moderator:
Post zingine bwana ni vituko. Kule kwetu tunaziita Makorokocho. . .Yaani hazieleweki. Sasa wewe mtoto wa kiume unalilia ooh mademu wa siku hizi, sijui nini...alaah,.! Acheni mambo zenu!
 
Post zingine bwana ni vituko. Kule kwetu tunaziita Makorokocho. . .Yaani hazieleweki. Sasa wewe mtoto wa kiume unalilia ooh mademu wa siku hizi, sijui nini...alaah,.! Acheni mambo zenu!

Ahahahaha mm siwezi changia mada hii kwa sababu kuu hizi:

(1)Wanawake ndiyo Mama zetu ndiyo wake zetu na ndiyo dada zetu-Kuwasimanga kwa sababu wamekuomba pesa ni kuwavunjia heshima!

(2)Kuna wanaume wengi tu nawajua tena wapo kwenye ndoa lkn WAKE zao ndiyo wanaendesha familia ambapo WANAUME zao wanaomba toka kwa WANAWAKE zao

(3)Mzinga hauna jinsia

DEMBA nakuomba PM please tuongee yetu
 
Mkuu kama umeliona hilo hongera sana.
 
Stata Mzuka hii ni tabia na imekuwa mazoea... Awe na hela au hana ni walewale tu... Kwa wale wenzangu tunaopata gambe wewe utakuwa shahidi yangu... Siku hizi ukiingia bar unakutana na mijicho ya hurumaaa inakuangalia sasa ikatokea moja ya meza yupo mmoja tu unamfahamu kidizaini tu ukatoa hi!! Ndugu hiyo hi yako utaiuza maana yatakuangalia umekaa wapi!! Then mhudumu anaitwa "mwambie yule kaka tunaomba bia!!!"... Nyambafu kwani mi ndio nimewaleta bar? Au mnajua bajeti yangu mfukoni... Asa wakati mwingine unakuta yanakunywa maji ukimwambia mhudumu waongezee wanavyokunywa... Hahahaha mzee utashangaa wanavyobadilisha huyu utasikia savana bariiidii! Mwingine nipe redbull.. Mwingine utasikia una dompo red hapo!!? Nyambaaaafu kama unakunywa dompo na huna hela unafuata nini bar!!? Kazi kuombaomba tu... Jamani madada zetu acheni hiyo tabia swala la kutombwa bure au na hela lisiwafanye muwe ombaomba!!!

Tafsida huwa inamata pia katika kufikisha ujumbe.
 
Kama wana njaa wape chakula, kwani hakuna wanaume wenye njaa? wote wanajiweza?

Hahah ukiona hivyo imekuTouch hiyo inaitwa jiwe gizani...acha mizinga maana sijaGenerize ukajishtukia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom