Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

Status
Not open for further replies.
Ukiona mtu analalamika kupigwa mzinga ujuwe kachacha huyo.

its seem wanawake mnaover demand.muangalie na hali za watu.unadate na muuza vocha anataka ujiachie kama banker.am joking
 
Kadada kamoja ka Ifm kaliniomba eti nikaongezee laki sita kakanunue laptop!!! Nilichoka. Mpaka sasa nimejitoa kinamna namna
 
Kadada kamoja ka Ifm kaliniomba eti nikaongezee laki sita kakanunue laptop!!! Nilichoka. Mpaka sasa nimejitoa kinamna namna

ha ha ha ha ha ha ha alijua we ni benki
 
..Wadada wanaomba sana siku hizi, hasa hawa wa Facebook! humjui, hakujui, lakini anaomba kama mlijuana mwaka kabla!

Ni hapo Facebook mkuu sidhani kama wadada wa JF ni ombaomba? Hapa kila mtu anayadrive maisha kivyake na hata ukitaka msaada usisite kumwaomba mdada.
 
Hivi inakuwaje unakutana na demu ambaye sio mtu wako wala hakuwahi kuwa mtu wako ila mnafahamiana fresh tu... Lakini unakuta baada ya muda mrefu wa kutokuwasiliana siku ukijichenga tu ukampigia au ukamtumia sms badala ya jibu unalotarajia utasikia "nikopeshe laki na nusu nina shida nayo ntakurudishia!"... Au siku hiyo unaitwa "dear nina shida na elfu hamsini ya salon"... Sasa unabaki unashangaa mazoea hayo yameanzia wapi!!? Na kwanini mpaka ukimtafuta tu ndio anatangaza shida zake?? Mbona ukiwa kimya hakutafuti?? Girls u need to change... Shida zenu zisiwadhalilishe!! Mdau unasemaje kuhusu hili!!?

Mmezidi kulalamika mnoo, kama hutaki mazoea unachat nae ili iweje? Kama ulikuwa hujui hiyo ni mbinu mpya ya kukukataa tumefundishwa na mtambuzi, tena hao wako mbona wanakuomba masifuri matano tu? inabidi aongeze sifuri moja ni utimue mbio.
 
Hivi inakuwaje unakutana na demu ambaye sio mtu wako wala hakuwahi kuwa mtu wako ila mnafahamiana fresh tu... Lakini unakuta baada ya muda mrefu wa kutokuwasiliana siku ukijichenga tu ukampigia au ukamtumia sms badala ya jibu unalotarajia utasikia "nikopeshe laki na nusu nina shida nayo ntakurudishia!"... Au siku hiyo unaitwa "dear nina shida na elfu hamsini ya salon"... Sasa unabaki unashangaa mazoea hayo yameanzia wapi!!? Na kwanini mpaka ukimtafuta tu ndio anatangaza shida zake?? Mbona ukiwa kimya hakutafuti?? Girls u need to change... Shida zenu zisiwadhalilishe!! Mdau unasemaje kuhusu hili!!?

Ndio mkome kutushobokea, unanitafutia nini? Fanya mambo yako na mm nifanye yangu.
 
mwanaume ni kawaida kumtunza mwanamke.ila hii mentality papuchi kuwa direct propotional to hela.ila sio sababu unanipa papuchi ndo nikulipe.

ukiugua niskuuguze

ukipata tatizo nisisolve

mnaharibu dhana ya mapenzi.inakua nikununuana

Sijakwambia uniuguze na wala sijakwambia u-solve matatizo yangu.
Wewe nipe changu, nitajitibia mbele kwa mbele.
Manake wengine mtataka mjenge mdule kabisa.
Afu tukiwakataa, mnatupiga bastola.
Mtupishe sie.
 
Stata Mzuka hii ni tabia na imekuwa mazoea... Awe na hela au hana ni walewale tu... Kwa wale wenzangu tunaopata gambe wewe utakuwa shahidi yangu... Siku hizi ukiingia bar unakutana na mijicho ya hurumaaa inakuangalia sasa ikatokea moja ya meza yupo mmoja tu unamfahamu kidizaini tu ukatoa hi!! Ndugu hiyo hi yako utaiuza maana yatakuangalia umekaa wapi!! Then mhudumu anaitwa "mwambie yule kaka tunaomba bia!!!"... Nyambafu kwani mi ndio nimewaleta bar? Au mnajua bajeti yangu mfukoni... Asa wakati mwingine unakuta yanakunywa maji ukimwambia mhudumu waongezee wanavyokunywa... Hahahaha mzee utashangaa wanavyobadilisha huyu utasikia savana bariiidii! Mwingine nipe redbull.. Mwingine utasikia una dompo red hapo!!? Nyambaaaafu kama unakunywa dompo na huna hela unafuata nini bar!!? Kazi kuombaomba tu... Jamani madada zetu acheni hiyo tabia swala la kutombwa bure au na hela lisiwafanye muwe ombaomba!!!

Mkuu huko ndio tatizo kubwa unakula dem kaagiza Bia yake moja anakunywa lisaa yaan Analamba na kurudisha, akikuona unaagiza mbili mbili na nyama choma anajua Yes Mbuzi wa Vinginguti kaja so kaja.
 
its seem wanawake mnaover demand.muangalie na hali za watu.unadate na muuza vocha anataka ujiachie kama banker.am joking

Wewe Polite wajijua kazi yako ni kutembeza maji, kwanini unifate mie wa viwango?
Afu nikikuomba uninunulie Galaxy S4 unaanza kuninanga.
Weye!
Nyie tutieni handasi tu afu mje muone.
Mmezidi ubahili wanaume wa siku hzi.
Ubahili ndo mana hata papuchi tunawakodia.
 
Last edited by a moderator:
Madame B mume ulipata?Na mtoto vipi maadili mema unampa maana hizi post zako!!#@$?
 
Last edited by a moderator:
Utakuta Mwanamke wako kabisa umemaliza kula mzigo anataka uumpe hela as if kakuuzia sasa kuna tofauti gani na wa Joly? Mbingu zao za kukuomba hela anataka hela ya Teksi au Bajaj ukimwambia nikurudishe gari si hii hapa wananuna.

We unaleta kipapa chako huna hata hela ya Bajaj halafu ndio mnataka haki sawa. Ila kuna Wanawake wengine smart utakuta anataka mgegedo na show anasimamia yote mwenyewe analipia hotel n.k
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom