Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 318
- 513
Habar zenu madoktor humu ndani.
Mnisamehe Kama kichwa cha habari kitakuwa na ukakasi wowote. Nilioa miaka 5 iliyopita, baada ya mwezi mmoja nikagundua mke wangu alikuwa ni muathirika wa HIVna aliambukizwa na mama yake kipindi cha unyonyeshaji.
Mwaka wa tano sasa kila kipindi ninachopima huonekana niko fresh na Sina maambukizi. Situmii kinga Wala chochote na nafsi iko tayari hata nikipata sio issue kabisa kwangu, yaani nmekubaliana na lolote lile litakalotokea
(Tufupishe story)
Sasa huwa najiuliza sana mbona sipati hiv miaka yote hiyo? Kuna nini hapa, ama inakuwaje kuwaje hili linatokea? Madaktari mniambie lolote la kitaalam nifahamu.
Nb
Kama si daktari ni vyema usichangie