Madaktari, kwanini Mimi sijapata UKIMWI mpaka sasa?

Hujielewi Wala huelewi hata ulichoandika,kwahiyo siwez kuendelea KUPOTEZA nguvu zangu kukujibu tena.ila cha kukushauri sio kila post ujikute unawashwa goti kuchangia,uwe unatuliza MSHONO sometimes..
Wewe ungekua unajielewa usingebaka mtoto wa miaka 13, tena unakuja jukwaani kutunisha korodani zako ooh mbona sipati VVU,
Toa address yako ufatiliwe halafu ujibu huo utumbo wako.
 
1. Umefanya child molestation

2. ulivyofahamu viral load yake ilikuaje?

3. mpaka upate maambukizi lazima cell receptors zako zipokee virus, kuna watu wachache ambao cell receptors zinakataa.
Sio kwamba zinakataa bali hawana zile chemo receptors ambazo hujulikana kama CCR5.
 
Mimi nakushauri mtafute doctor aliyekaribu nawe ili akupe darasa , iko hivi siku moja nilipata story ihusianayo na mwanaume aliyeishi na mwanamke aliyeathirika na janga la HIV , waliishi vzr mwanaume alikuwa hajui kama mkewe ni mwathirika , ila alivyogundua akapima afya yake mara kadhaa , na akajikuta yuko vzr kabisa ila aliamua kuachana na huyo mwanamke na mwanamke huyo akawa anasimulia NJIA PANDA kuna kauli niliisikia kwa doctor kwamba kuna watu hata wakiishi na wenye UKIMWI hawezi kuathirika kutokana na CD4 zao.
 
Just a point of curiosity, Why not work on those inhibitor cell receptors mechanism (if there is any) to develop a vaccine for HIV??!!-----take it as a Challenge or opportunity Madame Dr .

"One day you maybe a Nobelist in Medicine."

Why Corona have found vaccines but HiV is still kimbembe so far???
Aise nomaaa
 
WAKUU HUU UZI NIMEOMBA KWA MADAKTARI TU,NYINYI MNAOONA NI UDAKU AMA NIMEAMUA KUPOTEZA TU MUDA SI MPITE TU MCHANGIE MADA NYINGINE MBONA TUNAKWAZANA KIASI HIKI.???

Mtu analeta serious issue halafu majamaa mengine yanakomenti tu ujinga,acheni niliowaomba waseme huenda faida ikapatikana hata kwa mwingine kuliko mtu amekula ugali wa baba ameshiba anakuja kusumbua.kama kitu hukijui kukaa kimya ni busara pia.
Kampime sehemu 8 TOFAUTI halafu uje na majibu hapa
 
WAKUU HUU UZI NIMEOMBA KWA MADAKTARI TU,NYINYI MNAOONA NI UDAKU AMA NIMEAMUA KUPOTEZA TU MUDA SI MPITE TU MCHANGIE MADA NYINGINE MBONA TUNAKWAZANA KIASI HIKI.???

Mtu analeta serious issue halafu majamaa mengine yanakomenti tu ujinga,acheni niliowaomba waseme huenda faida ikapatikana hata kwa mwingine kuliko mtu amekula ugali wa baba ameshiba anakuja kusumbua.kama kitu hukijui kukaa kimya ni busara pia.
Mkuu kibamia hatuchubui yani hupti kam mimi tu
 
Unaozeshwa mtoto na wewe na mimvi yako unachekelea tu, tena ulivyokosa haya mbakaji wewe sio tu kumnyanyasa huyo mtoto kingono bali pia na VVU ukatamani kumpa, umeona sasa kila ukijitahidi hapati ndio waja kujiulizisha kinafki hapa,

Kufa haraka ili huyo mtoto apate uhuru wake.
Duuhh! What's is goin' on here!!!, Mnafahamiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar zenu madoktor humu ndani.

Mnisamehe Kama kichwa cha habari kitakuwa na ukakasi wowote.

Nilioa miaka 5 iliyopita,baada ya mwezi mmoja nikagundua mke wangu alikuwa ni muathirika wa hiv na aliambukizwa na mama yake kipindi cha unyonyeshaji.

Mwaka wa tano sasa kila kipindi ninachopima huonekana niko fresh na Sina maambukizi

Situmii kinga Wala chochote,na nafsi iko tayari hata nikipata sio issue kabisa kwangu,yaani nmekubaliana na lolote lile litakalotokea

(Tufupishe story)

Sasa huwa najiuliza sana mbona sipati hiv miaka yote hiyo ?

Kuna Nini hapa,ama inakuwaje kuwaje hili linatokea,?.

Madaktari mniambie lolote la kitaalam nifahamu.

Nb
Kama si daktari ni vyema usichangie

Wewe mara zote unazopima huwaulizi hao madaktari unakuja kuuliza huku. Utopolo wewe mxieww
 
Habar zenu madoktor humu ndani.

Mnisamehe Kama kichwa cha habari kitakuwa na ukakasi wowote.

Nilioa miaka 5 iliyopita,baada ya mwezi mmoja nikagundua mke wangu alikuwa ni muathirika wa hiv na aliambukizwa na mama yake kipindi cha unyonyeshaji.

Mwaka wa tano sasa kila kipindi ninachopima huonekana niko fresh na Sina maambukizi

Situmii kinga Wala chochote,na nafsi iko tayari hata nikipata sio issue kabisa kwangu,yaani nmekubaliana na lolote lile litakalotokea

(Tufupishe story)

Sasa huwa najiuliza sana mbona sipati hiv miaka yote hiyo ?

Kuna Nini hapa,ama inakuwaje kuwaje hili linatokea,?.

Madaktari mniambie lolote la kitaalam nifahamu.

Nb
Kama si daktari ni vyema usichangie
Kama mkeo anakunywa dawa vizuri ni risk ndogo sana kupata ukimwi via sexual intercourse
 
Habari yako mkuu. Mimi nipende kutoa mchango wangu kidogo juu ya sababu za kutopata UKIMWI ilihali unafanya tendo la ndoa na muhathirika,
1. Kwanza kabisa kisayansi kuna group la watu wachache Sana inakadiriwa Kuwa 1% kwenye mkusanyiko wa watu wa eneo moja , ambao wamezaliwa hawana au co-receptors zao (CCR5 na CXCR4) hazifanyi kazi. Ukiachana na CD4+ receptors ambazo zinapatikana kwenye chembe hai( cell surface) ambazo kazi yake kubwa ni kushikiza kirusi (attachment) pale kinaposhambulia chembe hai, coreceptors zenyewe husaidia kirusi kuingia na kuanza Ku-replicate ndani ya chembe hai na baadae kusababisha madhara ndani ya chembe hai. Hivo kama MTU akizaliwa bila kuwa na hizi co receptors virusi havitaweza kuingia na kushambulia cell hivo ni ngumu kupata ugonjwa wa UKIMWI. Nasisitiza ni asilimia chache wako hivi, hivo kama umo miongoni hongera.
2. Pili, kisayansi wanaume wana chance ndogo ukilinganisha na wanawake ya kupata ukimwi kwa sababu wakati wa kufanya mapenzi inahitaji tu msuguano mdogo ili virusi vipite. Kwa wanaume ngozi ambayo iko nje ya uume wao ni ngumu ukilinganisha na wanawake ambao wana sehemu laini ya ukeni (vaginal lining) ambayo huweza kupata michubuko kwa urahisi ukilinganisha na wanaume.
3. Tatu, kumekuwa na nadharia kuwa wanaume wenye maumbile madogo pamoja na wale wanaotumia muda mchache kufanya mapenzi, wana nafasi ndogo ya kuchukua maambukizi kwani wanakuwa hawana muda mrefu wa kuweza kuzalisha msuguano. (Haijathibitishwa kisayansi).
Hizo ni sababu chache Kati ya nyingi, lakini kama wengine walivoshauri ni vema kuchukua vipimo sehemu tofauti ili kulinganisha kwa pamoja kujihakikishia.
Nawasilisha.🙏🙏🙏
 
Habari yako mkuu. Mimi nipende kutoa mchango wangu kidogo juu ya sababu za kutopata UKIMWI ilihali unafanya tendo la ndoa na muhathirika,
1. Kwanza kabisa kisayansi kuna group la watu wachache Sana inakadiriwa Kuwa 1% kwenye mkusanyiko wa watu wa eneo moja , ambao wamezaliwa hawana au co-receptors zao (CCR5 na CXCR4) hazifanyi kazi. Ukiachana na CD4+ receptors ambazo zinapatikana kwenye chembe hai( cell surface) ambazo kazi yake kubwa ni kushikiza kirusi (attachment) pale kinaposhambulia chembe hai, coreceptors zenyewe husaidia kirusi kuingia na kuanza Ku-replicate ndani ya chembe hai na baadae kusababisha madhara ndani ya chembe hai. Hivo kama MTU akizaliwa bila kuwa na hizi co receptors virusi havitaweza kuingia na kushambulia cell hivo ni ngumu kupata ugonjwa wa UKIMWI. Nasisitiza ni asilimia chache wako hivi, hivo kama umo miongoni hongera.
2. Pili, kisayansi wanaume wana chance ndogo ukilinganisha na wanawake ya kupata ukimwi kwa sababu wakati wa kufanya mapenzi inahitaji tu msuguano mdogo ili virusi vipite. Kwa wanaume ngozi ambayo iko nje ya uume wao ni ngumu ukilinganisha na wanawake ambao wana sehemu laini ya ukeni (vaginal lining) ambayo huweza kupata michubuko kwa urahisi ukilinganisha na wanaume.
3. Tatu, kumekuwa na nadharia kuwa wanaume wenye maumbile madogo pamoja na wale wanaotumia muda mchache kufanya mapenzi, wana nafasi ndogo ya kuchukua maambukizi kwani wanakuwa hawana muda mrefu wa kuweza kuzalisha msuguano. (Haijathibitishwa kisayansi).
Hizo ni sababu chache Kati ya nyingi, lakini kama wengine walivoshauri ni vema kuchukua vipimo sehemu tofauti ili kulinganisha kwa pamoja kujihakikishia.
Nawasilisha.🙏🙏🙏
 
1. Umefanya child molestation

2. ulivyofahamu viral load yake ilikuaje?

3. mpaka upate maambukizi lazima cell receptors zako zipokee virus, kuna watu wachache ambao cell receptors zinakataa.
Aisee mimi ni mmoja wapo nimetembea Peku Mpaka sehemu Chakavu sana ila nkienda Hospital nipo Negative, Ni muda sana natembeleza Rungu Dry
 
Habar zenu madoktor humu ndani.

Mnisamehe Kama kichwa cha habari kitakuwa na ukakasi wowote.

Nilioa miaka 5 iliyopita,baada ya mwezi mmoja nikagundua mke wangu alikuwa ni muathirika wa hiv na aliambukizwa na mama yake kipindi cha unyonyeshaji.

Mwaka wa tano sasa kila kipindi ninachopima huonekana niko fresh na Sina maambukizi

Situmii kinga Wala chochote,na nafsi iko tayari hata nikipata sio issue kabisa kwangu,yaani nmekubaliana na lolote lile litakalotokea

(Tufupishe story)

Sasa huwa najiuliza sana mbona sipati hiv miaka yote hiyo ?

Kuna Nini hapa,ama inakuwaje kuwaje hili linatokea,?.

Madaktari mniambie lolote la kitaalam nifahamu.

Nb
Kama si daktari ni vyema usichangie
Mjomba huyo ndio ubavu wako ulioandikiwa, umetimiza neno... Yy aliandikiwa kuzaliwa nao na ww ukaumbwa bila receptors... Anyway umemkuta akitumia dawa? Kama aligundulika baada ya kuzaliwa nao possibility ni kubwa alianza dawa kama asingeanza dawa ni ngumu ww kumkuta amefika umri wa mtu mzima bila kupata madhara kama hatumii dawa effectively, na kama anatumia dawa effectively basi hana virus load ya kuweza kukuambukiza wewe, hapo sije ukajisemea huna hizo receptors japo ni ngumu huku kwetu ku prove, na je umefanyiwa kipimo cha DNA PCR? Kama umepima hivi vya kawaida unaweza kuwa carrier ww waishi navyo na kuambukiza ila haikuletei madhara kwenye mwili wako, hii hutokea mara chache, so ili kujua hasa nn kinaendelea nenda hosp watajaribu hivyo vyote ujulikane uko kundi gani, ila kwa sasa ishi tu kama DISCORDANT COUPLE. ALL THE BEST
 
Habar zenu madoktor humu ndani.

Mnisamehe Kama kichwa cha habari kitakuwa na ukakasi wowote.

Nilioa miaka 5 iliyopita,baada ya mwezi mmoja nikagundua mke wangu alikuwa ni muathirika wa hiv na aliambukizwa na mama yake kipindi cha unyonyeshaji.

Mwaka wa tano sasa kila kipindi ninachopima huonekana niko fresh na Sina maambukizi

Situmii kinga Wala chochote,na nafsi iko tayari hata nikipata sio issue kabisa kwangu,yaani nmekubaliana na lolote lile litakalotokea

(Tufupishe story)

Sasa huwa najiuliza sana mbona sipati hiv miaka yote hiyo ?

Kuna Nini hapa,ama inakuwaje kuwaje hili linatokea,?.

Madaktari mniambie lolote la kitaalam nifahamu.

Nb
Kama si daktari ni vyema usichangie
Kuna mambo mengine mengi ya kuzingatia kabla ya kupata majibu sahii, ila mengi hapa ni theory mbalimbali kama ifuatavyo. Ili kupata jibu sahihi ni pale tu sababu halisi za kisayansi zitakapotafutwa kisayansi:

1: Kiasi cha virusi wakati unakutana na mwenzio. Kama kiasi cha virusi kilikuwa chini, nafasi ya maambukizi huwa pia ni ndogo.

2: Kiasi cha virusi baada ya kuanza dawa na jinsi anavyoendelea nazo.

3: Jinsi ya maandalizi ya tendo la ndoa na jinsi linavyofanyika. Kufanya tendo wakati kuna unyevu unyevu wa kutosha, huepusha msuguano mkali na kuepusha michubuko ambayo ni chanzo kikuu cha kuambukizana virusi.

4: Suala la kutahiliwa au kutokutahiliwa.
Watu waliotahiliwa huwa wanaongeza uwezo wa kujikinga na maambukizi toka kwa mtu mmoja Kwenda mwingine.

5: Kutokuwa na receptor husika. Kuna watu waliozaliwa bila sehemu ambayo ni mhimu kwa virusi vya ukimwi kujishikiza ili viseze mhingia kwenye seli ambazo ndio makao yao halisi. Kwa kushindwa hilo, basi mipangi yao mingine mingi hufeli.

Ni hayo tu.
Ni lipi linafanya kazi kwako, ni kazi ya kisayansi inahitajika.
 
Unaozeshwa mtoto na wewe na mimvi yako unachekelea tu, tena ulivyokosa haya mbakaji wewe sio tu kumnyanyasa huyo mtoto kingono bali pia na VVU ukatamani kumpa, umeona sasa kila ukijitahidi hapati ndio waja kujiulizisha kinafki hapa,

Kufa haraka ili huyo mtoto apate uhuru wake.
Mbona uko harsh sana katika comments zako? Why all that?
 
Back
Top Bottom