Dah... [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Mwenyekiti karibu View attachment 1136435
Nisalimie fatumaIbungu 1 Mabibo Mwisho nikipunguza machungu ya kufungwa na Senegal View attachment 1136857
Fatuma Jana hakuwepo!Nisalimie fatuma
Sawa ShunyMwenyekiti karibu View attachment 1136435
Mwenyekiti Bado upo? Mimi ndio Naingia Ibungu HapaNiko Ibungu hapaView attachment 1137457View attachment 1137458
Nipo Ibungu Mabibo now View attachment 1137632
Unamix na nyagi?[emoji23]
Jana usiku bar ya King'ole iliyopo Mabibo Matokeo kwa binti Kahenga kituo cha Luhanga, imeteketea kwa moto yoote View attachment 1137972View attachment 1137973