Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,970
- 27,510
Asee,,habari mbaya Sana hiiJana usiku bar ya King'ole iliyopo Mabibo Matokeo kwa binti Kahenga kituo cha Luhanga, imeteketea kwa moto yoote View attachment 1137972View attachment 1137973
Asee,,habari mbaya Sana hiiJana usiku bar ya King'ole iliyopo Mabibo Matokeo kwa binti Kahenga kituo cha Luhanga, imeteketea kwa moto yoote View attachment 1137972View attachment 1137973
Jana usiku bar ya King'ole iliyopo Mabibo Matokeo kwa binti Kahenga kituo cha Luhanga, imeteketea kwa moto yoote View attachment 1137972View attachment 1137973
Mbaya Sana! Ilikuwa sebule ya pili badaa Ile ya home,Asee,,habari mbaya Sana hii
Nimelala na kuamka nazoo[emoji44][emoji44][emoji44]wafiwa?
Hakuna aliyefariki ndugu, Ila Bar ndiyo imeteketea yote,hasa club Ile ya juu na chini Huku barNimelala na kuamka nazoo
Ovaaa
Hakuna aliyefariki ndugu, Ila Bar ndiyo imeteketea yote,hasa club Ile ya juu na chini Huku bar
Aise kande na black label [emoji23][emoji23]
Nimepata kiu ghalfa [emoji41][emoji41]
Nipo break ya mchana hapa kazini napambana na egg sandwich afu unapost Chips na Samaki wa Mwanza,nimekasirika sana basi haina namna mamake.
View attachment 1138338
[/QUOTEGitheri lazima itakuwa pande za majirani zetu Manyangau maake ndiyo swaga zao.
Nipo break ya mchana hapa kazini napambana na egg sandwich afu unapost Chips na Samaki wa Mwanza,nimekasirika sana basi haina namna mamake.
Dah
Hii combination bado sijaielewa. Si no makande hayo ama mi ndio sioni vizuri?