Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Bibiee mzima nipe mchakatoBaki tu mkuu...dah..hatari sana hii...
Bibiee mzima nipe mchakatoBaki tu mkuu...dah..hatari sana hii...
Aise kamata huyo mtetea utengeneze mchemsho [emoji23][emoji23]
Jogoo hujamuona? Alafuanaonekana bado mchanga[emoji23][emoji23]Aise kamata huyo mtetea utengeneze mchemsho [emoji23][emoji23]
Nimwemona mtetea mtamu kuliko jogoo [emoji41][emoji41]Jigoo hujamuona? Alafuanaonekana bado mchanga[emoji23][emoji23]
Kulikoni rafikiLeo natimiza siku ya 7 bila kulipa kodi. Pongezi kwa mimi
Tupicha twingine twakudownload
Nilivyokuwa huko kwenu nilipiga vyombo balaa. Nikaona nijipe mapumziko kidogoKulikoni rafiki
Yaani kuna watu wanawivu. Ila jibu murua sanaDownload na wewe
Dadeq we dogo huna kazi tena "kumbe uwongezei kuku maji kazi kula konyagi tuuh"[emoji23][emoji23][emoji23]
Dadeq we dogo huna kazi tena "kumbe uwongezei kuku maji kazi kula konyagi tuuh"[emoji23][emoji23][emoji23]
Utasikia mtu anasema "hizo pombe zako hazikupeleki popote"
Ila Pierre yupo egypt na pombe zake,we Endelea kunywa juisi zako tuone
Msubirini mpaka kiongozi wenu arudi kutoka Misri. Oyoo juu kileleniKwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....
CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!