Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,719
ulionja hukunywa ww😛iga bia hapo kama 10 uone kama hujalewa
ahahhaa...kumi noma..duh.naishiaga desperado 6..savana 7..redds 8
ulionja hukunywa ww😛iga bia hapo kama 10 uone kama hujalewa
hizo hata ule nyama kiasi gani,ukinywa tu lazma ukate motoAlifakamia bila msosi nini [emoji26][emoji26]
hizo hata ule nyama kiasi gani,ukinywa tu lazma ukate moto
ahahhaa...kumi noma..duh.naishiaga desperado 6..savana 7..redds 8
Hahahaha, woyoooo mualiko umetiki
Natamani tukamate kinywaji pamoja siku moja [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ahahhaa...kumi noma..duh.naishiaga desperado 6..savana 7..redds 8
Sawa sawa haina tatizo ,zitakujaUje na zile bia zako [emoji41][emoji41]
Natamani nami niwepo,niongeze Nguvu kdg ya kikaoNatamani tukamate kinywaji pamoja siku moja [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Natamani tukamate kinywaji pamoja siku moja [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
😅😅😅😅..Karibu sana ukija Tzee tushtue..tumeet pa1..ss ni ww utuambieNatamani nami niwepo,niongeze Nguvu kdg ya kikao
Uje na zile bia zako [emoji41][emoji41]
Sawa haina tatizo ,ma Rafiki[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]..Karibu sana ukija Tzee tushtue..tumeet pa1..ss ni ww utuambie
tunamix tunapata boonge ya cocktail
Hahahaha, safi sana itatisha Sanatunamix tunapata boonge ya cocktail
Tuombe MunguUmeona eehh nasubiri
Poa poa nataka kuona nitapeleka ngapi isijekuwa kama bingwa beerSawa sawa haina tatizo ,zitakuja
Safi sana ngoja nionge na dogo langu manengeloNatamani nami niwepo,niongeze Nguvu kdg ya kikao
Nu
Naomba nitegemee aug mwanzon..!hehehe...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]..Karibu sana ukija Tzee tushtue..tumeet pa1..ss ni ww utuambie