Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,659
- 18,595
Poa kabisa karibu chamaniMambo
Poa kabisa karibu chamaniMambo
Dah mimi bado natumika kwa mtwana wangu....
😂 😂😂Unaijuwa pombe inaitwa mndambwanda?
Sijajibiwa hili swali jamani.Na ni kinywaji gani kinafaa hasa kwa mtu mwenye ugonjwa wa kisukari?
Kunywa majiSijajibiwa hili swali jamani.
Sijajibiwa hili swali jamani.
Nimekusoma.Katika beer Heineken
Lakini vipi kuhusu Serengeti lager wanasema haina sukari, je ni kweli au ni biashara?Katika beer Heineken
Hahahaha ,aseeeWakuu eti kunaukweli kwamba serengeti lager inapunguza nguvu ya kuamsha popo?[emoji848]
Hahahaha ,aseee
Alisikika afisa mauzo wa Kilimanjaro lager akisema...Wakuu eti kunaukweli kwamba serengeti lager inapunguza nguvu ya kuamsha popo?[emoji848]