Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Unajua nn mkuu.Ref alcohol proof,unaweza kunywa Heineken kwa mfanio ambayo ina 5 by volume(no sure) na Jack Daniel ambayo ina 40 by volume (sure) but Cha kushangaza Heineken ukapata nishai na no nishai kwa JD ambayo ina alot of alcohol volume.Why
Alcohol is alcohol is alcohol. Alcohol ya spirit ni exactly the same na alcohol ya beer. Tofauti ni Alcohol By Volume (ABV).

Chupa ndogo ya Konyagi (200 mL) ina total alcohol 70 mL kati ya 200 mL.

Chupa moja ya Castle Lager (500 mL) ina total alcohol ya 25 mL kati ya 500 mL.

Kwa hiyo chupa moja ndogo ya Konyagi ina alcohol sawa na Castle Lager chupa 70/25 = 2.8 (au tuseme chupa 3 za Castle Lager).
 
kamdudu kidogo na kiburudisho pembeni happy weekend guys.
IMG_20190509_221452.jpeg
 
Naombeni msaada wadau najua hp siko sehemu yake ila kama kuna mtanzania yyt yuko hp kijiji cha ghanzi bostwana naomba tuwasiliane niko hp wiki nzima
Fungua uzi unaohusiana na watanzania wanaoishi Botswana....nadhani unaweza fanikiwa kwa haraka zaidi hitaji lako
 
Unajua nn mkuu.Ref alcohol proof,unaweza kunywa Heineken kwa mfanio ambayo ina 5 by volume(no sure) na Jack Daniel ambayo ina 40 by volume (sure) but Cha kushangaza Heineken ukapata nishai na no nishai kwa JD ambayo ina alot of alcohol volume.Why
Well, inategemea kiasi cha chupa za Heineken utakazokunywa ukilinganisha na chupa za JD. Lkn ABV ya JD ni kubwa kuliko ya Heineken. Kumbuka ABV inapima asilimia ya alcohol kwa kila mL 100 ya pombe yoyote. Volume for volume, JD ina alcohol kiwango kikubwa zaidi kuliko Heineken. Hiyo haina ubishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom