The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,079
- 2,027
Usijari brother. Hakuna tatizo. Asante pia.pole sana mkuu me ndo leo nimeona kua umefiwa

pamoja brother.Usijari brother. Hakuna tatizo. Asante pia.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nawashukuru sana walipa kodi wenzangu kwa salam zenu. Nimeguswa sana na namna yenu mlivyolipokea suala langu.. Sikutegemea kuwa ningeweza pata hata neno la pole tokea huku..
Mshana nakushuru sana kwa uzi maalum. Kwa kweli sikutegemea. Nimepata PMs nyingi sana, nikajiuliza wamejuaje hawa watu.. Nikagundua ni uzi wako brother. Asante sana kaka..
Kipekee nimshukuru mlipa kodi mwenzangu na rafiki yangu mno Manengelo...
Asante brother 13 Mega pixel, Mtu chake, cadey, Fursa kibao, Blackcornsmanship, hon nkundwe na walipakodi wote kwa ujumla..
Yapaswa nifunge safari maalum ya kuja dar, tufurahie pamoja maisha ndugu zangu.
Asante sana Mshana
Asante kwa kushukuru ndugu yangu karibu na Mbeya pia ulipe kodiNawashukuru sana walipa kodi wenzangu kwa salam zenu. Nimeguswa sana na namna yenu mlivyolipokea suala langu.. Sikutegemea kuwa ningeweza pata hata neno la pole tokea huku..
Mshana nakushuru sana kwa uzi maalum. Kwa kweli sikutegemea. Nimepata PMs nyingi sana, nikajiuliza wamejuaje hawa watu.. Nikagundua ni uzi wako brother. Asante sana kaka..
Kipekee nimshukuru mlipa kodi mwenzangu na rafiki yangu mno Manengelo...
Asante brother 13 Mega pixel, Mtu chake, cadey, Fursa kibao, Blackcornsmanship, hon nkundwe na walipakodi wote kwa ujumla..
Yapaswa nifunge safari maalum ya kuja dar, tufurahie pamoja maisha ndugu zangu.
Asante sana Mshana
Doh! Mbeya ukwenu kwetu huko. Kaka yangu ameoa huko..Asante kwa kushukuru ndugu yangu karibu na Mbeya pia ulipe kodi
Asee,pole sana MkuuNawashukuru sana walipa kodi wenzangu kwa salam zenu. Nimeguswa sana na namna yenu mlivyolipokea suala langu.. Sikutegemea kuwa ningeweza pata hata neno la pole tokea huku..
Mshana nakushuru sana kwa uzi maalum. Kwa kweli sikutegemea. Nimepata PMs nyingi sana, nikajiuliza wamejuaje hawa watu.. Nikagundua ni uzi wako brother. Asante sana kaka..
Kipekee nimshukuru mlipa kodi mwenzangu na rafiki yangu mno Manengelo...
Asante brother 13 Mega pixel, Mtu chake, cadey, Fursa kibao, Blackcornsmanship, hon nkundwe na walipakodi wote kwa ujumla..
Yapaswa nifunge safari maalum ya kuja dar, tufurahie pamoja maisha ndugu zangu.
Asante sana Mshana
Nawashukuru sana walipa kodi wenzangu kwa salam zenu. Nimeguswa sana na namna yenu mlivyolipokea suala langu.. Sikutegemea kuwa ningeweza pata hata neno la pole tokea huku..
Mshana nakushuru sana kwa uzi maalum. Kwa kweli sikutegemea. Nimepata PMs nyingi sana, nikajiuliza wamejuaje hawa watu.. Nikagundua ni uzi wako brother. Asante sana kaka..
Kipekee nimshukuru mlipa kodi mwenzangu na rafiki yangu mno Manengelo...
Asante brother 13 Mega pixel, Mtu chake, cadey, Fursa kibao, Blackcornsmanship, hon nkundwe na walipakodi wote kwa ujumla..
Yapaswa nifunge safari maalum ya kuja dar, tufurahie pamoja maisha ndugu zangu.
Asante sana Mshana
Poza koo maana kule majanga[emoji28]Usimame tena..kwanza ww ni mwanaume jamani...najua una maumivu moyoni sana yaishi aliyokuwa anakuambia mama yetu....
uishi maisha marefu mzee baba...mm leo ninalipa kodi kahamaa[emoji184][emoji184][emoji184] ...see u one dayView attachment 1092557
Poza koo maana kule majanga[emoji28]
Wine na hiki kimvua vinahamasisha sanaView attachment 1093129Mapemaaa....safarini
Kulima? [emoji28]Wine na hiki kimvua vinahamasisha sana
Utarudi Thika! [emoji28]View attachment 1093129Mapemaaa....safarini
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji108]Walipa kodi Asanteni sana kwa Rambirambi zenu. Mmenipa faraja sana na moyo wa kujua kuwa sisi kweli ni wadau.
Mmenifariji sana kiasi ambacho sikuwahi fikiria. Mlioniomba namba PM na kupata mkono wenu, nimewashukuru PM. Wapo wengine nimeshindwa kuwafaham.. Ila hapa mpate tu ujumbe wangu wa dhati wa shukrani.
Asanteni waungwana.
Utarudi Thika! [emoji28]
Utarudi Thika! [emoji28]
Walipa kodi Asanteni sana kwa Rambirambi zenu. Mmenipa faraja sana na moyo wa kujua kuwa sisi kweli ni wadau.
Mmenifariji sana kiasi ambacho sikuwahi fikiria. Mlioniomba namba PM na kupata mkono wenu, nimewashukuru PM. Wapo wengine nimeshindwa kuwafaham.. Ila hapa mpate tu ujumbe wangu wa dhati wa shukrani.
Asanteni waungwana.
Wine na hiki kimvua vinahamasisha sana
[emoji23][emoji23][emoji23]kilimo cha matuta