Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,661
- 18,596
mkuu naona na kitu cha arusha unapoozea hiyo kinywaji
Naam mkuu nimeamua kujifungia chemba nibebembee sitaki kelele za familia.mkuu naona na kitu cha arusha unapoozea hiyo kinywaji
Acha bwanaaaaa... Safari ya congo hiyo, usiombe umetoka doria ya amani afu ukakumbana na hii kitu. Full utawalaJumapili tulivu ,na Simba 'butamu ya kwetu' official sponsored Tp Mazembe View attachment 1088673
Baab kubwa mkuu choma mjaniNaam mkuu nimeamua kujifungia chemba nibebembee sitaki kelele za familia.
HahahahaAcha bwanaaaaa... Safari ya congo hiyo, usiombe umetoka doria ya amani afu ukakumbana na hii kitu. Full utawala
Pole sana August Mungu Akufariji sana kipindi hichi kigumu![]()
Tanzia: Mama mzazi wa mwanachama mwenzetu August hatunaye tena
Hii si taarifa njema kwa member mwenzetu theAugust, mama yake ametwaliwa jana usiku kutoka maisha haya.... Habari hizi nimezipokea toka kwa manengelo Mama marehemu alipata ajali ya pikipiki tarehe moja na kupelekwa hospital mpaka jana mauti yalipomfika....! theAugust yuko njiani kuelekea...www.jamiiforums.com
Mama wa ndugu yetu August hatunaye tena
Dah umenitamanisha ujue [emoji23]Holstein pils afu nikalale zangu.View attachment 1089942
Sogea kipande hii kuna cartons mbili zinasubiri company tu mkuu.Dah umenitamanisha ujue [emoji23]
I love my enemy 100x
Rafiki we si wa mchezo mchezo naona unagonga Rosse
Pole kwa mfiwa,losing a mother is something you can never imagine going through until it actually happens.![]()
Tanzia: Mama mzazi wa mwanachama mwenzetu August hatunaye tena
Hii si taarifa njema kwa member mwenzetu theAugust, mama yake ametwaliwa jana usiku kutoka maisha haya.... Habari hizi nimezipokea toka kwa manengelo Mama marehemu alipata ajali ya pikipiki tarehe moja na kupelekwa hospital mpaka jana mauti yalipomfika....! theAugust yuko njiani kuelekea...www.jamiiforums.com
Mama wa ndugu yetu August hatunaye tena
pole sana mkuu me ndo leo nimeona kua umefiwaNawashukuru sana walipa kodi wenzangu kwa salam zenu. Nimeguswa sana na namna yenu mlivyolipokea suala langu.. Sikutegemea kuwa ningeweza pata hata neno la pole tokea huku..
Mshana nakushuru sana kwa uzi maalum. Kwa kweli sikutegemea. Nimepata PMs nyingi sana, nikajiuliza wamejuaje hawa watu.. Nikagundua ni uzi wako brother. Asante sana kaka..
Kipekee nimshukuru mlipa kodi mwenzangu na rafiki yangu mno Manengelo...
Asante brother 13 Mega pixel, Mtu chake, cadey, Fursa kibao, Blackcornsmanship, hon nkundwe na walipakodi wote kwa ujumla..
Yapaswa nifunge safari maalum ya kuja dar, tufurahie pamoja maisha ndugu zangu.
Asante sana Mshana